Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Sio kila unachokiona kwenye social media ni cha kweli. Maisha yamebadilika sana, watu wanapenda kuonekana wamefanikiwa sana kimaisha mbele za watu lakini kiukweli wana struggle financially. Njia rahisi ya kujionesha ni kupitia social media ambayo unaona so relax brother.
 
Inaonekana hiyo miaka uliyotaja sio sahihi, ingekuwa kweli una 28 usingelalamika hivi

Uko above ya 28
 
Hiyo moja kati ya hatua nzuri.. Punguza matumizi yasiyo sahihi.. Kati kumi tumia sita nne weka...
Chunga marafiki wakatishaji tamaa..
Zaidi usimsahau Muumba wako kwa kila hatua..
 
Wengine tuna miaka 49 nyumba bado ipo kwenye msingi tofauti zimekuwa nyeusi utadhani ni za udongo wewe jichekeshe hivyo hivyo ukadhani hapa JamiiForums tuna nyumba kweli
 
Back
Top Bottom