Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Brother 28yrs una kazi,una mke na una mtoto bado unalalama? Acha kututia unyonge sisi wengine wenye umri zaidi yako na pengine hata elimu na kupambana tunapambana lakini hatuna hata kimoja katika hivyo..... Wewe ni wa juu sana,una sababu mbili za kujiona mnyonge ila una zaidi ya sababu bilioni moja za kujiona shujaa,hebu geukia huo upande wa pili bila kusahau pia jitihada hazizidi kudra.... Pambana tu time zone yako bado.
 
Husika na kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.

Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.

Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.

Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
At 28 ndiyo kwanza nilikuwa naiona kwa mbali njia nitakayopitia,, I'm now 40 nina kajumba kamoja na eka moja ya shamba la mahindi.

Namshukuru Mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aisee... Nyie ndio Mungu anawatamani sana kwa kuwafanya mifano hai
 
At 28 ndiyo kwanza nilikuwa naiona kwa mbali njia nitakayopitia,, I'm now 40 nina kajumba kamoja na eka moja ya shamba la mahindi.

Namshukuru Mungu[emoji120][emoji120][emoji120]
Hatua nzuri Mkuu
 
28 kwa kibongo bongo bado sana ila wengi wanaanza kupata mafanikio kwa wakiume 24-30 na wakike 18-24.
 
Unapoangalia sana watu wa chini yako (masikini zaidi yako) hua ni rahisi sana kunyanyua mikono na kumshukuru Mungu kwa neema na baraka alizokupatia.
Unapokua ni mtu wa kuangalia sana watu wa juu yako (matajiri) basi ni rahisi kwa shetani kukuchezea akili mpaka utafikia kukufuru maana hautaona jema lolote ambalo Mungu amekutendea.
Kuna kipindi na mimi nilikua nnapitia hali kama unayoipitia wewe, kuna jamaa yetu alikua anaumwa kansa amelazwa Ocean road, baada ya kwenda kumtembelea na kuona hali za wagonjwa wengine waliokua wamelazwa hapo hospitali, hakika nilijiona mimi ni miongoni mwa watu waliobarikiwa kuliko watu wengi hapa ulimwenguni.
Sisemi haya kwa kukukatisha tamaa ya kupambana ili utimize malengo yako, bali nataka uone neema na baraka kubwa ya uzima na afya uliyopewa na Mola wako.
Kuna watu wanateseka jamani na maradhi hapa duniani.
Well said
 
heshimu ulivho nacho usipo kiheshimu ni tatizo. kwaa maana hata kile kidogo unacho dhani kuwa unacho utapokonywa
 
Husika na kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.

Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.

Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.

Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
Nani amekudanganya Kuna umri maalumu wa kufanikiwa
 
Nahisi kinachokupa stress unasoma sana mabandiko ya @kidukulilo
 
28 kwa kibongo bongo bado sana ila wengi wanaanza kupata mafanikio kwa wakiume 24-30 na wakike 18-24.
Sasa hapo, jf nyuzi mbalimbali mtu anakuambia ana below 25 ana pesa ya kutosha, nyumba na nk. Ndo hapo mtu unaanza kufikiria mbali
 
Back
Top Bottom