Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Wala tu usijali haujachelewa tena upo pazuri endelea kupambana na kuongeza juhudi. Kuna wenzako umri huo hata uhakika wa kipato hawana. Be grateful of what you have na jitume zaidi
Thanks
 
Wala tu usijali haujachelewa tena upo pazuri endelea kupambana na kuongeza juhudi. Kuna wenzako umri huo hata uhakika wa kipato hawana. Be grateful of what you have na jitume zaidi
Thanks
 
Watu wana 40+ na bado wanasota na bahasha mkononi, hawana kazi, hawana shamba wala kiwanja na hela ya Kodi inawapiga chenga.... Na bado wanafamilia inawaangalia daily.....

Kuwa muajiriwa tena serikalini na kushindwa kufanya chochote huo ni ujinga tathmini nafasi uliyo nayo hapo.....

Kuna kijana nilikutana naye analamba laki moja (100000 ) kwa mwezi na yuko Dar hapo, na ni mwaka wa tatu kwenye hiyo kazi inayomlipa hivyo na anamiliki shamba kanunua kwa kujisave tu,

Acha kazi uone moto
 
Never lose hope you never know what tomorrow may bring.... nilipokua na miaka 26 baada ya kumaliza chuo kikuu nilikua sina chochote zaidi ya begi langu la nguo. Two years later nikiwa na miaka 28 nilipata dili moja matata sana kazini nikapata kila kitu nilichokihitaji kuanzia nyumba ya maana sana, gari na mke na mtoto juu. Hii ina maana kwamba huwezi kujua kesho yako so kukata tamaa ni dhambi kubwa sana .

Kaka angu mkubwa amepata kazi yake ya kwanza akiwa na miaka 35 baada ya kusota karibu miaka 10 bila kazi. Kazi yenyewe ya mshahara wa laki 4 as gross ila hakukata taa, amekuja kushika pesa za ajabu akiwa na miaka karibu 45. Kwa sasa ni tajiri mkubwa sana kutoa misaa ya million 5 hadi 10 kwenye familia sio kitu cha ajabu kwakwe.

So please never lose hope, you never know what tomorrow may bring.

By the way, in order to be the best you need to survive the worst.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
First unabid ushukuru Sana mungu Kwan una pumz mzima wa afya pia umeajiliwa vpi asiyeajiliwa umemuwaza VIP aliyeyoko hospital bado ajui atasimama lini VIP kuhusu mlemavu kabixaa kakaa we shukuru mungu bado una afya unapiga kaz life linaenda kama ujawah lala njaa endelea kumshukuru Muumba shukuru hicho hicho kidogo unacho kikubwa kitafuataa[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sure mkuu!
Fikiria kwa hali hiyo aliyonayo mara mtoto amaumwa, mara mama mkwe kaja, mara dogo kaja, mara hivi,
Yani kwa staili hiyo sahau kusave na kuwa na maendeleo
Kabisa
 
Unapagawa na maisha ya Jf pole bwana mdogo.

Kuna mwenzako sasa alidai yupo Uswis kumbe kajamba nani tu, yupo chato huko[emoji23][emoji23]
 
Great thanks
Shukuru Mungu kwa hiki ulichonacho, tena una kazi serikalini, angalau una jua mwisho wa mwezi una kitu unaingiza. Bado una nafasi ya kusimama tena nakuanza upya, ukafanikiwa. Jipange upya na ongeza nguvu ya mafanikio. Mana kuna wenzio wana miaka 30 mpk ss hawana ajira na wala hawaingizi kitu mwisho wa mwezi. Shukuru Mungu una uwezo wa kuanza tena mkuu. Mungu atakupigania.
The Most Winner
 
Mkuu sio yote wasemayo wana jf ni ya kwel wengne wanajifarij tu na keyboard so usipagawe sana,"wanasema kufanikiwa ni bahati na sio akili"
 
Kama uko elimu na una shahada Ina maana salary yako ni kuanzia 700k+ unaweza fanya makubwa boss hofu yako tu ishinde.

Usiishi kwa hofu kwa kuangalia maisha ya watu hata Mimi hiyo hali ilinipelekesha sana.

Hiyo "fear oc failure" uliyo nayo ni mbaya na itakuangamiza zaidi kuliko maisha unayoishi
Thanks
 
Back
Top Bottom