Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

Umri bado shukuru una ajira mwenzio iyo ajira naitafuta kwa tochi na namba zishasoma zaid ya iyo 28 nkikaa na kufikilia kuwa nmepoteza najiona bado nafasi zipo na nkimuangalia mtoto wangu anafurah anaenda choon najiona nami ni miongon mwa waliofanikiwa japo kwa nyanja tofauti ila nn maisha bila changamoto kama izo ni kama supu bila ndimu na pilipili ainogi
Mitano Tena
 
Husika na kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.

Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.

Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.

Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
ni kutia bidii ukimtumainia mungu na mambo yatajipa tu
siyo sahihi kukata tamaa mapema hii
 
Husika na kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.

Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.

Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.

Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
Tuliza boli.Kamasi ndo kwanza zinakukauka.
Bado una muda mrefu!
 
Husika na kichwa cha habari tajwa.

Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life.

Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli.

Nimwajiriwa wa serikali, kilichonigharimu nimewahi kupokea ndugu sana kabla sijajipanga vizuri. Kila nilkijiitahidi kumeki lakini wapi.

Nipeni maujanja ili nami nitusue kimaisha. Mamake wenzangu tuloanza nao katika ukuaji ama kuajiriwa, wako mbali mno kimaisha.
Ndio maan nchi haiishi ufisadi.
wenziio wana staafu ndio wananunu PASSO wewe ndio unataka uanze kazi na gari, ?
 
Ishi maisha yako. Usiishi maisha ya kuiga watu. Kumbuka msemo usemao: "UKIMUIGA TEMBO KUNYA UTAPASUKA MSAMBA" au "TAMAA MBELE MAUTI NYUMA" Zingatia maneno hayo ili uishi salama na umri mrefu hapa duniani.
 
Mkuu. Mi nagonga 70 Julai na sina kitu wewe 28 ndiyo unapaniki. Tulia maisha ndo yanaanza !!!

Pia epuka sana dhambi ya kujilinganisha na wengine kwa sababu hata ufanyeje kuna watu ambao watakuzidi tu. Keep your pace, muombe Mungu na makinikia sana malengo yako uliyojiwekea huku ukirekebisha mapato na matumizi yako na kuchakarika huku na huko.

Na pia kumbuka kwamba kati ya wenzio hao unaowarejelea naamini kuna wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki. Ile kuwa hai bado ni mibaraka tosha
Mshukuru Mungu kila hatua unayopiga katika maisha na kazi kwa ujumla.
 
Mkuu. Mi nagonga 70 Julai na sina kitu wewe 28 ndiyo unapaniki. Tulia maisha ndo yanaanza !!!

Pia epuka sana dhambi ya kujilinganisha na wengine kwa sababu hata ufanyeje kuna watu ambao watakuzidi tu. Keep your pace, muombe Mungu na makinikia sana malengo yako uliyojiwekea huku ukirekebisha mapato na matumizi yako na kuchakarika huku na huko.

Na pia kumbuka kwamba kati ya wenzio hao unaowarejelea naamini kuna wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki. Ile kuwa hai bado ni mibaraka tosha
Mkuu wewe hapo unasumbua wajukuu tu bora ufe 😄😄
 
Usiwe na wasi. Nina miaka 50 lakini sina chochote. Umeona watu wengi tu wakizikwa mwaka huu. Je, yupo alizikwa na pesa na nyumba? Haya mambo ya duniani ni ubatili tu (vanity).
Mfanye Mungu kuwa wa kwanza katika maisha yako yote nikimaanisha ukiamka anza na Mungu kumshukuru kwa kukulinda usiku kucha na mpe tena nafasi ya kukulinda tena siku nzima kwa maana yeye anajua yajao yote halafu Fanya kazi kwa bidii na unapopata mshahara kwa mwezi au posho za siku au wiki mtolee Mungu fungu la kumi la pato lako na sadaka kuanzia kuanzia kumi na kuendelea mfano mshahara wako kwa mwezi shilingi 500,000/= asilimia kumi la kipato chako ni zaka yaani shilingi 50,000/= na sadaka shilingi 50,000/= jumla laki moja mkabizi Mungu kwa ya matoleo kanisani kwako kamwe Mungu atakulinda na shida zako atakujibu ila tu ukifanya haya ninayokuambia kwa maana nimeona Mungu akitenda katika maisha yangu ninamtegemea yeye halafu usijilinganishe na mtu yeyote yule wewe mtegemee Mungu katika njia zako zote naye atakupatia kile ukitakacho ila kwa sasa vuta subra!!
Barikiwa!! Haya ni mawazo yangu!!
 
Mahindi ya bisi huwa yanawekwa wa wakati mmoja na kwa kipimo kile kile cha joto lakini cha ajabu kila hindi hupop up kwa wakati wake...
 
Wakati wa Mungu ndiyo wakati sahihi..endelea kuomba na kuwa na imani ipo siku yako tu hao wenzako watajilinganisha na wewe.
 
Back
Top Bottom