Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Sasa mm sijaelewa hio picha hapo chini ya mdada na hio habari ya kumiliki milioni uwiano wake vipi
 
Kuna watu hawajui maisha humu labda bahati mbaya au familia zao zina uhusiano wa kifisadi fisadi hivi nauliza tuu ulishawahi kuishi kwa buku tuu 1000/- kwa wiki?
 
wakati sina nilijua nikizipata wadau watajuta,nikazipata afu hakuna kilichobadirika,mambo ni yale yale tu,nilichogundua binadamu kamwe ukiwa hai wauwezi kuridhika,na kitu ukiwa hauna unakuwa una hamu nacho sana,ukiishakipata hamu inahamia kwingine,so amazing,tuishi tu,tukamilishe mzunguko tukapumzike,kimsingi hadi leo sijawahi kubahatika niijue sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani!
 
Afadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita
Maisha ni kuwa na vitu sio pesa. Hongera mkiepa kodi
 
Mimi naona utajiri wa mtu unaoitwa kwa mali aliyonayo na si pesa alizonazo. Tunavyoona una nini vyenye thamani gani?
 
mwaka2013 nilikuwa nafanya kazi fulani ambayo mwisho wa mwaka tulikaa na mhasibu wa kampuni tukapiga hesabu tumeingiza dola laki1 na ushee na tukapiga hesabu za matumizi yangu tukakuta ni kama dola elfu8 nikakaa chini nikatafakari saana saana hivi hii pesa niliyoiingizia kampuni ni nyingi sana na mimi hii pesa niliyoipata laiti kama ningekuwa na usimamiz mzuri wa matumizi yangu ingewezekana kila mwaka nikawa na akiba ata ya dola4000 au 3000
ila kwa sababu yakutokua na nidhamu ya pesa ndio
ivyo unajikuta pesa unapata ila inapoishia hauoni na kuona kama kuna mazingira tata ya pesa inapokwenda

Kikubwa ni kuwa na nidhamu ya pesa unayoipata na kusimamia vizuri bajeti yako na malengo uliyoyaweka achana na kuhonga mkuu na kuwa na mwanamke mmoja kama utaweza maana hawa nao wanahusika sana na màtumizi yako ya msingi ambayo hauwezi kuyakwepa
Umesomekaa mkuu
 
Kuna watu hawajui maisha humu labda bahati mbaya au familia zao zina uhusiano wa kifisadi fisadi hivi nauliza tuu ulishawahi kuishi kwa buku tuu 1000/- kwa wiki?
Daahh hali inatisha 1000 kwa wiki!!
 
wakati sina nilijua nikizipata wadau watajuta,nikazipata afu hakuna kilichobadirika,mambo ni yale yale tu,nilichogundua binadamu kamwe ukiwa hai wauwezi kuridhika,na kitu ukiwa hauna unakuwa una hamu nacho sana,ukiishakipata hamu inahamia kwingine,so amazing,tuishi tu,tukamilishe mzunguko tukapumzike,kimsingi hadi leo sijawahi kubahatika niijue sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani!
Ha ha haa tunajitahidi kutafuta furaha mkuu!! Siri hyo sio utajiri tu kama wengi wanavodhani !!! Furaha inatengenezwa
 
Mimi naona utajiri wa mtu unaoitwa kwa mali aliyonayo na si pesa alizonazo. Tunavyoona una nini vyenye thamani gani?
Wanaangalia Mali na thamani yake plus pesa!! Kwan Mali unaweza ukaigeuza pesa muda wowote
 
wakati sina nilijua nikizipata wadau watajuta,nikazipata afu hakuna kilichobadirika,mambo ni yale yale tu,nilichogundua binadamu kamwe ukiwa hai wauwezi kuridhika,na kitu ukiwa hauna unakuwa una hamu nacho sana,ukiishakipata hamu inahamia kwingine,so amazing,tuishi tu,tukamilishe mzunguko tukapumzike,kimsingi hadi leo sijawahi kubahatika niijue sababu ya binadamu kuwepo hapa duniani!
Huu ni mstari kwenye nyimbo gani niutafute.kama ni maneno yako binafsi mkuu umemaliza kila kitu.naomba endelea kidogo kama kuna uwezekano ongeza kama comment 3 zinazofanana na hii kwenye huu uzi nizisome
 
Tatizo vijana hamtaki kazi ngumu, we unapenda kushinda kwenye touch. Kwa mwendo huu wa serikali yetu utaisoma namba coz mh rais amekuwa wazi
 
Ukiona hivyo ujijue kichwani hamna kitu, unaishi maisha bandia, mimi nina mshahara wa laki nne tu, tena nina mke na watoto wawili wanasoma, lakini nina gari toka 2012 na piki piki ya kijapani toka 2008 na sasa hivi najenga nasubiri kupaua, sijawahi kukopa benki. Nakushauri jiongeze kwa kazi za ziada usitegemee serkali utakaufa masikini na kila siku utaishia kulalama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom