Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Inategemea mkuu na background yako...mwingine hata laki 5 ni ndefu..bwana wee .mie naonaga nisikose hela kbs..nisikose hela ya emergence...nilitaka kwenda popote muda wowote niende ..mengine mwbembwe tu
Hapo sawa. ili maisha yasiwe ya majuto, basi angalau inatakiwa ukitaka kula ule unachokipenda, uvae vizuri, ulale vizuri, kama una familia basi mambo yote ya msingi yawe yanawezekana kwa wakati.
Hakuna aibu mbaya kama baba wa familia kukosa uhakika wa kuyamudu mambo ya msingi katika familia
 
Mie ndo naishi hivyo ..mradi unachotaka usikose....aibu sana kwanza inavunja hata heshima
 
Mie ndo naishi hivyo ..mradi unachotaka usikose....aibu sana kwanza inavunja hata heshima
Shika sana ulichonacho huku ukiyakumbuka mambo ya msingi kipindi hiki sababu asilimia kubwa watu wengi hawakumbuki mambo muhimu mpaka wakati wa shida.
Wekeza hata sehemu ndogondogo hutoyaona maisha kuwa kitu kisichofaa!
 
There is a time when U sit while reflect Ur life and say to Ur self at this age why I have nothing, let me tell something ,The health that You have is something better than the things You think You don't have,continue to Praise Almighty God for the blessing of life.
IMG_20200805_131015.jpg
 
Shika sana ulichonacho huku ukiyakumbuka mambo ya msingi kipindi hiki sababu asilimia kubwa watu wengi hawakumbuki mambo muhimu mpaka wakati wa shida.
Wekeza hata sehemu ndogondogo hutoyaona maisha kuwa kitu kisichofaa!

Nakuelewa Sana mkuu...tunajifunza kutokana na makosa tulofanya nyuma..kifupi sipendi umaskini huo vibaya Sana...so tupambane
 
Hahhahaa kufa huwa ni ishu....sema chamoto unakiona mubashara! Unaogipa hata kujimix na wenzako..ukipata 10000! Unaona boonge ya hela😭
Daah maisha kama mimi saaahivi haoa nimebaki na 450 dogo kaja na 50 nimempa simu acheze game dakika 3 imekuwa 500.
 
Daah maisha kama mimi saaahivi haoa nimebaki na 450 dogo kaja na 50 nimempa simu acheze game dakika 3 imekuwa 500.
Jichanganye mkuu usikae ndani alone...! Speak tafuta fursa mkuu..! Kesho ntakuja pm
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au ana milioni 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni Mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE
Weka kidogo kidogo utashika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom