kolelosi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 831
- 1,991
pole "jambazi" kama umeshindwa kuelewa kwa sasa nipo na misimamo ipi baada ya kuyaona makosa yanguKama hela yako ulikuwa unaikanyaga sa utamshaurije mwenzako?
mleta mada atakuwa kanielewa vyema kuliko wewe
au mtu mwenye maono yake atakuwa kajua kwa sasa mimi niko vipi baada ya kuona makosa mengi nilikuwa nayafanya wapi