Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Iko tofauti ya pesa karatasi na mali unaweza ukawa pesa karatasi ujaziweka za kutosha ila umeweka kama kwa viwanja,elimu iwe kwako au watoto, nyumba nk kikubwa piga hesabu ya unamiliki shilingi ngapi kama assets
Hata kiwanja cna
 
Naomba majibu ya maswali haya:
Kazi yako?
Kipato chako?
Eneo la kazi?
 
mwaka2013 nilikuwa nafanya kazi fulani ambayo mwisho wa mwaka tulikaa na mhasibu wa kampuni tukapiga hesabu tumeingiza dola laki1 na ushee na tukapiga hesabu za matumizi yangu tukakuta ni kama dola elfu8 nikakaa chini nikatafakari saana saana hivi hii pesa niliyoiingizia kampuni ni nyingi sana na mimi hii pesa niliyoipata laiti kama ningekuwa na usimamiz mzuri wa matumizi yangu ingewezekana kila mwaka nikawa na akiba ata ya dola4000 au 3000
ila kwa sababu yakutokua na nidhamu ya pesa ndio
ivyo unajikuta pesa unapata ila inapoishia hauoni na kuona kama kuna mazingira tata ya pesa inapokwenda

Kikubwa ni kuwa na nidhamu ya pesa unayoipata na kusimamia vizuri bajeti yako na malengo uliyoyaweka achana na kuhonga mkuu na kuwa na mwanamke mmoja kama utaweza maana hawa nao wanahusika sana na màtumizi yako ya msingi ambayo hauwezi kuyakwepa
 
Nilkua naifikiria hyo mkuu ebu nipe detail za kutosha !! Mi naomba nikutafute kaa hutajali
haha sawa kariu sana mkuu ila ujipange maana kuna mwenzio kawekwa rehani huko ughaibunii anafanyiwa vululuvululu kisa deni la unga
 
Hahah we mwenyewe umeshindwa ku avoid hizo frustration mpk umekuja JF kulia hujawahi shika 1mil afu leo unamshauri mwenzako eti happiness iko within him/herself, hahah.
Mi ctafuti furaha natafuta pesa,ndo kitu kinachonisumbua furaha ninayo sema naona si normal to stay poor as i'm
 
Mi ctafuti furaha natafuta pesa,ndo kitu kinachonisumbua furaha ninayo sema naona si normal to stay poor as i'm
Kama hauoni normal to stay poor kama ulivyo, then huna self satisfaction therefore furaha yako ni ya ungaunga mwana tu.
 
Afadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita
Acha uongo ela ya bandle umepata wapi?
 
Kama hauoni normal to stay poor kama ulivyo, then huna self satisfaction therefore furaha yako ni ya ungaunga mwana tu.
Ktk maisha kila MTU anatafuta chake kulingana na ndoto yake mkuu
Kuna anaetafuta pesa,furaha,mapenzi ya kweli,umaarufu!!
Naweza nikaitengeneza na furaha pasipo pesa!! Lakini nahitaji Pesa s kwa sababu itanipa furaha Ila kwasababu itanipa heshima
 
Afadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita
Aaah wap
 
Ktk maisha kila MTU anatafuta chake kulingana na ndoto yake mkuu
Kuna anaetafuta pesa,furaha,mapenzi ya kweli,umaarufu!!
Naweza nikaitengeneza na furaha pasipo pesa!! Lakini nahitaji Pesa s kwa sababu itanipa furaha Ila kwasababu itanipa heshima
Huna self satisfaction huna furaha, acha kujidanganya. FULL STOP
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha!! Sio nacheka kwamba nafurahi Ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu!!
Mbaya zaidi nachoka nikisikia MTU anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta Mradi wa kufanya!!

Sijui labda ni Mimi ndo nahis Nina tatizo!!lakin hata kwa uhalisia naona itakua hivo!!
Si kwamba mishe sifanyi napga tu,shule ninayo, SASA NI NANI KANIROGA

Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience!!
Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani ???

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348

This is the Nation of the Destination with the full of Wonders under the THIRD PLANET ever seen and ever experienced.
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha!! Sio nacheka kwamba nafurahi Ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu!!
Mbaya zaidi nachoka nikisikia MTU anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta Mradi wa kufanya!!

Sijui labda ni Mimi ndo nahis Nina tatizo!!lakin hata kwa uhalisia naona itakua hivo!!
Si kwamba mishe sifanyi napga tu,shule ninayo, SASA NI NANI KANIROGA

Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience!!
Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani ???

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
This is the Nation of the Destination with the FULL of Wonders under the THIRD PLANET that ever seen and ever Expereinced.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom