Usemalo ni kweli mkuu. Ku maintain hela ikae au iendelee ku flow ni stress na pressure kubwa sana kuliko hata kuzitafuta. Maana zikishakuja majukumu na matumizi yanaonhezeka automatically.Mimi nilipokuwa sina hela naona watu wana hela naona kama wanafaidi sana, ila sasa hivi naingiza hela nzuri tu lakini, furaha yangu haijaongezeka au haijawa kama nilivyokuwa natrajia.... stress bado zipo, frustration bado zipo, pressure zimeongezeka, dah....
Kuwa na hela haimanishi kuongeza furaha bali kuridhika na unachopata naona, na mimi sijui nitaridhika lini
Hata mimi nilishtukaHakuna mzazi wa kuandika University eti Vasite, story ya kutunga hii
Si kweli mkuu!! Vijana wanapga kaziTatizo vijana hamtaki kazi ngumu, we unapenda kushinda kwenye touch. Kwa mwendo huu wa serikali yetu utaisoma namba coz mh rais amekuwa wazi
Ila hela ya bundle unayoooAfadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu waongo kweli na bila shaka anatumia computer au smartphoneIla hela ya bundle unayooo
Si ndo hapo. Anadai anakula ukoko. Ukipiga mahesabu ya bundle per day si chini ya buku hapo unapata wali maharage na mlenda swafi kabisa kwa mama ntilie teh tehe. Watu wa humu wamezidi fixii[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu waongo kweli na bila shaka anatumia computer au smartphone
Bongo wote wameenda vasiteKweli Uzee mwisho Chalinze..
Sasa c utakula hewaUkitaka kupata pesa ,usiihangaikie sana.
Ukiona hivyo ujijue kichwani hamna kitu, unaishi maisha bandia, mimi nina mshahara wa laki nne tu, tena nina mke na watoto wawili wanasoma, lakini nina gari toka 2012 na piki piki ya kijapani toka 2008 na sasa hivi najenga nasubiri kupaua, sijawahi kukopa benki. Nakushauri jiongeze kwa kazi za ziada usitegemee serkali utakaufa masikini na kila siku utaishia kulalama
Shilling( Tz shillings)Millon moja ya pesa ya wapi? Zimbabwe Dolar? US Dollar, Somalian Shilling au kitugani?
Sasa ulikua na chance na opportunity kumbe!!Nimependa ulivyompa makavu live. Wakat mwingine watu wazembe wa kufikiri wala sio maisha magumu wala nn ni uzembe 2.
Mimi nimemiliki million 15 - 17 nikiwa na umri wa miaka 22 - 23 na hakuna mtu yeyote alikua anajua home na wala sikuwehuka akili i.e. starehe sijui anasa.
Mshua wangu alikua akinituma sanaa kwenye maswala ya biashara zake pindi niko chuo kikuu....meeting new people nd getting exposed to different opportunities mule mule nilikua napiga madeal na watu. Laki moja moja hizi nimeziokota sanaa at the time...siku mshua amenishtukia ye mwenyewe alishangaa cz hakuwahi pata hasara hata siku moja.