Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au ana milioni 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni Mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE
 
mimi nafanya kazi mshahara m1.2 lakini sijawahi kutia milioni mfukoni. kama nimerogwa vile

unakuta advance nachukua laki 4 na mwisho wa mwezi wakikatakata makato yao nabaki na laki nne na ushee.

kusomesha,kuuguza,kulea familia,matumizi yangu job na kujirusha kidogo....ni msiba mtupu hata kiwanja sina lakini watoto wanapiga shule fresh wa kwanza kamaliza vasite ,wa pili yuko f6 na wa tatu anaenda chuo kupiga cert.

nitajenga Mungu akipenda...pale majanga yatakapoisha

HAVE COURAGE NA ANZA KUSEVU KIDOGOKIDOGO KAMA HUNA MAJUKUMU, M ITAFIKA TU
 
Mimi nilipokuwa sina hela naona watu wana hela naona kama wanafaidi sana, ila sasa hivi naingiza hela nzuri tu lakini, furaha yangu haijaongezeka au haijawa kama nilivyokuwa natrajia.... stress bado zipo, frustration bado zipo, pressure zimeongezeka, dah....
Kuwa na hela haimanishi kuongeza furaha bali kuridhika na unachopata naona, na mimi sijui nitaridhika lini
 
Hakuna mzazi wa kuandika University eti Vasite, story ya kutunga hii
 
Mimi nilipokuwa sina hela naona watu wana hela naona kama wanafaidi sana, ila sasa hivi naingiza hela nzuri tu lakini, furaha yangu haijaongezeka au haijawa kama nilivyokuwa natrajia.... stress bado zipo, frustration bado zipo, pressure zimeongezeka, dah....
Kuwa na hela haimanishi kuongeza furaha bali kuridhika na unachopata naona, na mimi sijui nitaridhika lini
Kama umesoma maslow kwenye hierarchy of need utaelewa mkuu hayo mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom