Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Issue hapa ni akili yako iwe calculating 24 / 7. Iwe popote unapopita akili iji tune katika kuona fursa za pesa iwe kihalali au la. Hata siku moja hamna mtu atakuambia "Hey John...here is an opportunity for u to make money " NEVER !!

Wake up young man.
Duuhh
 
Kuna kitu kinanichekesha kama sio kunifurahisha. Sio nacheka kwamba nafurahi ila ni haya maisha yanachosha nikiwa na umri huu sijawahi kumiliki hata millioni moja tu. Mbaya zaidi nachoka nikisikia mtu anamiliki million 900, au anamilion 70 anatafuta mradi wa kufanya.

Sijui labda ni mimi ndo nahisi nina tatizo lakini hata kwa uhalisia naona itakuwa hivyo si kwamba mishe sifanyi napiga tu, shule ninayo, sasa ni nani kaniroga? Ebu kama na wewe ni mmojawapo tushare experience.

Na wewe unaemiliki mkwanja mrefu ulipiga dili gani?

USHAURI MAANA NIKIFIKIRIA NAONA KAMA SIPO SERIOUS VILE [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] View attachment 376348
Kila MTU kapata utajiri kwa namna yake! Najua wengi watakwambia Fanya kazi ,jitume kwa bidii lakin cyo hvyo tu unaweza ukajituma na kufanya kaz ukaishia kua na pesa yakukidhi mahitaji tu ya msingi!! Yaan ya kula
Wapo walioachiwa urithi
Wapo walioachiwa biashara waendeshe
Kupewa kitengo
Kubahatika kukaa sehem pazuri n.k
 
It all starts in the mind.

Alaf mara zingine have a little rough mindset. Take calculated risks. Like unaplan issue flan mbaya ya kupiga hela ila think and analyse circumstances carefully that ikitokea imebuma unaji cover vp au ni loop hole gan utapenya na vitu kama hvyo.

Hahaha sikufundishi wizi (mtazamo tu) [emoji23][emoji23] otherwise u be hustling a long tym and u got nothin.

Don't break the law, just make it look legal but the right way.

Watu wanafungua viji company vyao wanapiga issue makazini humo humo (network utazipata tu)....we endelea kungoja mshahara..na utaachwa kweli kweli.
 
Kama jina lako !! It seems you know well how to beat the market and influx income
 
Kila MTU kapata utajiri kwa namna yake! Najua wengi watakwambia Fanya kazi ,jitume kwa bidii lakin cyo hvyo tu unaweza ukajituma na kufanya kaz ukaishia kua na pesa yakukidhi mahitaji tu ya msingi!! Yaan ya kula
Wapo walioachiwa urithi
Wapo walioachiwa biashara waendeshe
Kupewa kitengo
Kubahatika kukaa sehem pazuri n.k
Aisee Kuna Siri hapo
 
It all starts in the mind.

Alaf mara zingine have a little rough mindset. Take calculated risks. Like unaplan issue flan mbaya ya kupiga hela ila think and analyse circumstances carefully that ikitokea imebuma unaji cover vp au ni loop hole gan utapenya na vitu kama hvyo.

Hahaha sikufundishi wizi (mtazamo tu) [emoji23][emoji23] otherwise u be hustling a long tym and u got nothin.

Don't break the law, just make it look legal but the right way.

Watu wanafungua viji company vyao wanapiga issue makazini humo humo (network utazipata tu)....we endelea kungoja mshahara..na utaachwa kweli kweli.
Ushauri mzuri
 
Bora wewe haujawahi kumiliki milioni kuliko sisi tulioyashika mamilioni tukafilisika😭😭
Kuliko uwe uchumi mkubwa alafu ufilisike ni bora kutokushika hizo hela kabisa! Wakati wa hela mtu hujikusanyia matatizo kama kuoa, kujijengea jina/heshima fulani, kuzoea tabia fulani nk.
Mtu kama wewe una afya ya akili ila kama ungekuwa ulishamiliki mamilioni alafu yakakata, hapo lazima akili nayo iyumbe kiasi fulani

Sidhani kama naeleweka
 
Bora wewe haujawahi kumiliki milioni kuliko sisi tulioyashika mamilioni tukafilisika[emoji24][emoji24]
Kuliko uwe uchumi mkubwa alafu ufilisike ni bora kutokushika hizo hela kabisa! Wakati wa hela mtu hujikusanyia matatizo kama kuoa, kujijengea jina/heshima fulani, kuzoea tabia fulani nk.
Mtu kama wewe una afya ya akili ila kama ungekuwa ulishamiliki mamilioni alafu yakakata, hapo lazima akili nayo iyumbe kiasi fulani

Sidhani kama naeleweka
Aliyewahi kushika pesa ndefu kisha zikaisha, akituliza akili ni rahisi kurudi kwenye reli kuliko ambaye hajawahi kabisa!
 
It all starts in the mind.

Alaf mara zingine have a little rough mindset. Take calculated risks. Like unaplan issue flan mbaya ya kupiga hela ila think and analyse circumstances carefully that ikitokea imebuma unaji cover vp au ni loop hole gan utapenya na vitu kama hvyo.

Hahaha sikufundishi wizi (mtazamo tu) [emoji23][emoji23] otherwise u be hustling a long tym and u got nothin.

Don't break the law, just make it look legal but the right way.

Watu wanafungua viji company vyao wanapiga issue makazini humo humo (network utazipata tu)....we endelea kungoja mshahara..na utaachwa kweli kweli.

eli Mshana njoo hapa nikusanukie😆
Elli Mshana
 
Bora wewe haujawahi kumiliki milioni kuliko sisi tulioyashika mamilioni tukafilisika😭😭
Kuliko uwe uchumi mkubwa alafu ufilisike ni bora kutokushika hizo hela kabisa! Wakati wa hela mtu hujikusanyia matatizo kama kuoa, kujijengea jina/heshima fulani, kuzoea tabia fulani nk.
Mtu kama wewe una afya ya akili ila kama ungekuwa ulishamiliki mamilioni alafu yakakata, hapo lazima akili nayo iyumbe kiasi fulani

Sidhani kama naeleweka

Ulifirisikaje mkuu...je uligundua wap ulipoangukia! Naamini utanysnyuka tena
 
Ni mlolongo mrefu kweli japo wa muda mfupi. Nilipoanguka naweza kusema ni ujana, kutokujua hela inahitaji nidhamu ya hali ya juu pamoja na changamoto zilizoibuka mbeleni zikagongelea msumari wa mwisho
 
Inategemea msingi wa hela zenyewe. Hivi hela ndefu huanzia kiasi gani?
Inategemea mkuu na background yako...mwingine hata laki 5 ni ndefu..bwana wee .mie naonaga nisikose hela kbs..nisikose hela ya emergence...nilitaka kwenda popote muda wowote niende ..mengine mwbembwe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom