Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

Miaka 28 sijawahi kumiliki hata milioni moja

cha msingi tengeneza discipline ya ya mapato na matumizi yako na zaidi ya yote kuwa na amani ya moyo bila ya kufikiri itapatikana kwa kuwa na milioni/mamilioni..
 
Mimi nilipokuwa sina hela naona watu wana hela naona kama wanafaidi sana, ila sasa hivi naingiza hela nzuri tu lakini, furaha yangu haijaongezeka au haijawa kama nilivyokuwa natrajia.... stress bado zipo, frustration bado zipo, pressure zimeongezeka, dah....
Kuwa na hela haimanishi kuongeza furaha bali kuridhika na unachopata naona, na mimi sijui nitaridhika lini
Happiness IPO within yourself ni vile tu hujui jinsi ya kuavoid frustration
 
Hakuna mzazi wa kuandika University eti Vasite, story ya kutunga hii
Kwa mzazi n nn !! Wwee mzazi c mungu bana!! Kama MTU anaweza akawa form2 akawa mzazi wakati bado mtoto sa unaona cha ajabu nn!! Tatizo lako unafikiri kua mzazi lazma uwe kama hao waliozaliwa miaka ya 1923 huko!! Sasa hivi mzazi ni hawa hawa vijana wa kitaa!! hiyo ndyo SOCIA CHANGE
 
Afadhali yako wewe unawaza milioni, mimi nawaza jinsi ya kupata mlo mmoja wa siku, nikipata mia tano naenda kwa mama ntilie ananikwangulia ukoko na maharage au mchuzi siku imepita
Smartphone nayo umenunua kwa hyo hyo 500/=???
 
Duh million moja ni pesa ndogo sana kwa haya madafu ya Tanzania
 
Kwa mzazi n nn !! Wwee mzazi c mungu bana!! Kama MTU anaweza akawa form2 akawa mzazi wakati bado mtoto sa unaona cha ajabu nn!! Tatizo lako unafikiri kua mzazi lazma uwe kama hao waliozaliwa miaka ya 1923 huko!! Sasa hivi mzazi ni hawa hawa vijana wa kitaa!! hiyo ndyo SOCIA CHANGE
Ni kweli kabisa chief na ndo hao hao wazazi watoto wao wa kiume wakianza kupakwa vilainishi ili waendane na Mwendokasi wanaanza kulalamikia. Hongera kwa kua mzazi wa mwendokasi.
 
pole sana ushauri wangu mzuri kama unataka kushika ela nyingi kwa chapchap jiunge na kamata mpunga na vodacom kila cku ukatwe tsh300/= kwa muda kidogo utashika ela nyingi sana
 
Happiness IPO within yourself ni vile tu hujui jinsi ya kuavoid frustration
Hahah we mwenyewe umeshindwa ku avoid hizo frustration mpk umekuja JF kulia hujawahi shika 1mil afu leo unamshauri mwenzako eti happiness iko within him/herself, hahah.
 
Una
Simu 150000
ZViatu pea 5 200000
Nguo za kijanja 500000
bando mwaka500000
Kuhongahonga 300000
Kulakula hivyo n.k
Acha utani kijana
Na ulianza ukiwa na miaka 20
Adi Leo umeshamiliki zaidi ya ml 15
Sasa ukipiga na hela ambayo ulishatumia bas Hata hao maombaomba wameshafikisha mamilion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom