Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Chunya makongorosi imekamilika, katavi kwenda tabora imekamilika, ileje mpemba, mwendo kasi wa mbagala unakamilika, ring road dodoma inajengwa au ulitaka barabara zikamilike za kwenda chooni kwenu
Tatizo kubwa sukumagang ni wanafiki
 
Bora kutokujenga kuliko kuua watu na kuwanyang'anya matajiri fedha zao na kwenda kujengea hizo barabara unazozitaka.
Waliuawa kinani?Matajiri gani walinyang'wanywa fedha ushahidi tafadhali maana hii kauli ya watu kuuawa inavumishwa sana leo tuweke ushahidi
 
Acha uongo magufuli hakuna fisadi alie mnyanganya pesa tofaoti na wafanya biashara mafisadi wanafahamika wengi wao ni vigogo wa ccm taja 1 kigogo alie mpokonya mali alizo iba?lakinj hata yeye Magufuli alikuwa mwizi ndio maana alifuta kazi mkaguzi na msimamizi mkuu wa hesabu za serikali
Ulikuwa mdogo kipindi Bashiru Ally anarudisha mali za chama
 
Hizo ajali zinazotokea siyo kuuwa watu? Vipi wamama wanaoshindwa kufikia hospital kujifungua sababu ya barabara mbovu?
Ajali nani kasababisha? Je barabara alizoacha Mungu wenu Magufuli alizimaliza zote?
Je awamu hii haojaongeza hospital? SUKUMAGANG acheni unafiki wenu!
 
Ajali nani kasababisha? Je barabara alizoacha Mungu wenu Magufuli alizimaliza zote?
Je awamu hii haojaongeza hospital? SUKUMAGANG acheni unafiki wenu!
Taja hata hospitali moja ambayo imejengwa kipindi cha 6..
 
Kama unajiamini na unachoongea, una hoja ya kutetea unachoamini ya nini kuporomosha matusi badala ya hoja?

Jibu maendeleo ni barabara tu? Halafu ile barabara ya moroko na kwenda Mbagala anajenga nani? Au Mungu wenu Magufuli katoka makaburini Chato kaja kuijenga?
Bosi maendeleo ni miundombinu
 
Acha tu yaani huyu rais ni mbovu sijawahi kuona kwanza huwezi amini Hata madarasa hajengi ,ile reli ya SGR nasikia bado hata haijakamilika bado ipo vilevile,

CAG juzi kasema japokuwa mtangulizi wa mradi wa SGR kaleta hasara kwenye taifa 1.2 Trillions lakini Huyu Amiri jeshi bado ameshindwa kuongeza barabara hata moja kupitia pesa hizo zilipotea

Kwanza huyu rais haongezi hata mishahara na kupandisha watu vyeo kazi yake yeye ni kuzunguka tu anapenda kusifiwa tu
2025 atupishe atuachie nchi yetu
Waama kama kuna wapumbavu naomba unisamehe nikupe sifa yako, hongera!

Mimi siyo CCM na siipendi lakini sukumagang kwangu naona ndio maadui wakubwa wa taifa hili sababu ya unafiki wenu.

Jibu hela za covid hazijajenga madarasa karibia kila mkoa? Unasema unasema eti nasikia reli ya SGR iko vile vile, maana huna hakika, huna taarifa unasikia upuuzi unauleta mzima mzima. Hujasikia wenye akili husema no research no right to speak? U tube, instagram, hata ripoti ya CAG imeelezea habari ya SGR. Tafuta halafu urudi.

Muda wote ambao muuaji Magufuli alitawala aliongeza mishahara mara ngapi, lini na kwa kiasi gani? Ukinijibu hapo utajiona ulivyo mpungufu.
 
Mkataba wa Barbara ya Lusahunga Rusumo umesainiwa na Bugene Benaco ujenzi unaendelea.Nimezitaja hizo ambazo ziko ktk maeneo yangu.Lakini mbona zinajengwa maeneo mbali mbali wewe unahishi wapi?
 
Sisi kwetu zipo alizo jenga na full taa usiku mnene.
Asante mama kwa wema wako na uchapa kazi ulio tukuka. Na apende asipende tutamlazimisha kugombea tena.mungu akujalie afya njema.
 
Chunya makongorosi imekamilika, katavi kwenda tabora imekamilika, ileje mpemba, mwendo kasi wa mbagala unakamilika, ring road dodoma inajengwa au ulitaka barabara zikamilike za kwenda chooni kwenu

Kweli uvccm ni vilaza,inshu ni kwamba tangu sa100 kaingia madarakani hakuna project mpya ya ujenzi wa barabara uliofanyika.
 
Taja hata hospitali moja ambayo imejengwa kipindi cha 6..
Screenshot_20230411-100409.png

Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma
 
Trilioni 1.7 zimepigwa kwenye Reli huko tupo tupo tu kama sisi hii nchi yetu.

Watanzania wenzangu Hawa viongozi wetu wanatukosea sana.
Tatizo siyo rais, tatizo ni mfumo. Na mashabiki wa CCM na uvccm kuukosoa na kuzungumzia mapungufu ya mfumo unaoratibiwa na CCM ni dhambi kubwa.

Hivi zaidi ya bunge la Sitta na Makinda kuna kiongozi yeyote aliyewahi kuwajibishwa kutokana na ripoti ya CAG? No ukoo wa panya
 
Kwa upande wa reli hali ipoje?
Kila siku utachana barabara mpya za kuelekea wapi? Aboreshe zilizopo na kuangalia maeneo mengine ambayo bado tuko nyuma
Hawawezi kukubali kuboresha reli maana vitambi wakubwa ndo wamiliki wa malori

Reli ingerahisisha usafiri wa watu na mizigo lakini pia ingeua bishara ya malori
 
Kwamba hawa wanaoiba sasa hivi serikalini ikitokea baadae akaja Rais mwingine mwenye machungu na nchi akawaamuru wazirudishe mtasema ananyang'anya matajiri pesa?

Ww ulikuwa mtumishi mshahara wako ulikuwa Tsh 900,000/- (take it home) lkn unamiliki utajiri wa Tsh Bil 8 na zaid tusikuhoji umezipataje?
Tupe evidence kuonyesha hata CAG ni muongo kakosea kutuambia kuwa plea bargaining aliyoianzisha Magufuli ni wizi mtupu?

Hivi hizo akili zenu mnaziwekaga wapi mnapoanza kujadili maslahi ya taifa na legacy ya jizi Magufuli
 
Back
Top Bottom