Maendeleo nini? Ni barabara tu? Mnona hujazungumza madarasa ya UVICO? Yenyewe siyo maendeleo?
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Ndiyo barabara isionekane kwa miaka 2?Barabara hazijengwi kwa wiki...
Barabarani sio chakula cha kila siku..
Barabara zinaendelea kujengwa...
Hizo ajali zinazotokea siyo kuuwa watu? Vipi wamama wanaoshindwa kufikia hospital kujifungua sababu ya barabara mbovu?Bora kutokujenga kuliko kuua watu na kuwanyang'anya matajiri fedha zao na kwenda kujengea hizo barabara unazozitaka.
Wewe ni mshabiki tu....Ndiyo barabara isionekane kwa miaka 2?
Uwezi kunyang'anya watu kisa unaenda kujenga barabara kusaidia wajawazito. Kwa nini usitafute fedha za haki?Hizo ajali zinazotokea siyo kuuwa watu? Vipi wamama wanaoshindwa kufikia hospital kujifungua sababu ya barabara mbovu?
Wew Una nini kichwani? eti wasukuma hawajui uchumi, unawalisha wew??Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.
Wasukuma hamjui uchumi.
Ingelikuwa wewe ungeendeleza vipi mirandi mikubwa aloacha yule kichaa aloanzisha bila utaratibu.?
Alitumia kuiba na kunyanganya watu hela ku finance hayo mabarabara
KAZI IENDELEE .........Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Kuna barabara ya vumbi mashimo milioni kutoka Magufuli Terminal kwenda Msumi ni kilomita chache tu na ni Mjini Dar vumbi linatimka mahandaki milioni Yani najiuliza hivi Msumi hatuna mbunge? Hatuna diwani? Hata Rais hatuna?Honestly hata hapa Dar huku kitunda hamna hata barabara moja ni mashimo kila kona!
Wewe mtoa mada una chuki na utawala wa mfungua nchi;inamaana ujaona madaraja ya mchongo ya Bilioni 7 ambayo Mama kajenga![emoji2957]Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Honestly hata hapa Dar huku kitunda hamna hata barabara moja ni mashimo kila kona!
Kwamba hawa wanaoiba sasa hivi serikalini ikitokea baadae akaja Rais mwingine mwenye machungu na nchi akawaamuru wazirudishe mtasema ananyang'anya matajiri pesa?Bora kutokujenga kuliko kuua watu na kuwanyang'anya matajiri fedha zao na kwenda kujengea hizo barabara unazozitaka.