Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Kwahy hakuna barabara inayojengwa kwa sasa Nchi nzima?Au unazungumzia barabara mpya kabisa?Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Sasa kwa nini uanze mpya wakati hata za kuunganisha mikoa baado?Si bora amalize hizo kwanza.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app