Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,139
- 24,561
Unataka raisi akalime badala yako? Umesahau watu walitishwa na jitu lile jehu liloamini hakuna maendeleo bila kutishwa? Unaamka asubuhi unatishwa? Ndo maendeleo hayo hii mbona ni DS Ya first year ya kina kopoka rahisi sana maendeleo yanaanzia kwa watu siyo vituHicho chakula kiko wapi sasa?