Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Tupe evidence kuonyesha hata CAG ni muongo kakosea kutuambia kuwa plea bargaining aliyoianzisha Magufuli ni wizi mtupu?

Hivi hizo akili zenu mnaziwekaga wapi mnapoanza kujadili maslahi ya taifa na legacy ya jizi Magufuli
Wewe ni mpuuzi tu kama wenzako,kipi bora kumkamata mwizi na kunyanganya alichokuibia au kumfunga na kumuachia alichokuibia?enzi za Kikwete akina Yona waliiba mabilioni mwisho wa siku wakapewa adhabu ya kufagia hospital na mabilioni wakabaki nayo, Sasahivi wamekufa wamewachia watoto wao,hii sheria ya Magufuli ni mzuri tena inatakiwa iboreshwe,ikionekana umeiba mali ya umma ufirisiwe kabisa,kama wazungu wanavyofanya, ulaya ukibainika umekwepa kodi tu unafirisiwa na kifungo juu,huku eti mtu ameiba mabilioni mwisho wa siku anapewa adhabu ya kufagia hospital upuuzi.
 
Kweli we bwege, rais pale yupo ila tatizo ni mfumo
Raisi anafata mfumo au mfumo unamfata Raisi?Kati ya Mfumo na Raisi kipi kinabadilisha chezake kikatiba?We kiazi nijibu hayo maswali.
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Una uhakika?
 
Kwa upande wa reli hali ipoje?
Kila siku utachana barabara mpya za kuelekea wapi? Aboreshe zilizopo na kuangalia maeneo mengine ambayo bado tuko nyuma
Wamekopa.mikopo.holela hadi inaleta kichefuchefu
 
Honestly hata hapa Dar huku kitunda hamna hata barabara moja ni mashimo kila kona!
Dar mjiandae kwa foleni ya kufa mtu, kazi ya magari kuongezeka Dar hailingani na kasi ya ujenzi wa miundo mbinu..
 
Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.
Wasukuma hamjui uchumi.
Ingelikuwa wewe ungeendeleza vipi mirandi mikubwa aloacha yule kichaa aloanzisha bila utaratibu.?
Alitumia kuiba na kunyanganya watu hela ku finance hayo mabarabara
Barabara za mbweni, tegeta etc zimejengwa toka 2019 wakati wa jiwe
 
Wewe ni mpuuzi tu kama wenzako,kipi bora kumkamata mwizi na kunyanganya alichokuibia au kumfunga na kumuachia alichokuibia?enzi za Kikwete akina Yona waliiba mabilioni mwisho wa siku wakapewa adhabu ya kufagia hospital na mabilioni wakabaki nayo, Sasahivi wamekufa wamewachia watoto wao,hii sheria ya Magufuli ni mzuri tena inatakiwa iboreshwe,ikionekana umeiba mali ya umma ufirisiwe kabisa,kama wazungu wanavyofanya, ulaya ukibainika umekwepa kodi tu unafirisiwa na kifungo juu,huku eti mtu ameiba mabilioni mwisho wa siku anapewa adhabu ya kufagia hospital upuuzi.
Mimi mpuuzi lakini wewe ni mpumbavu nimekuuliza plea bargaining kama ilikuwa fair kwa nini CAG amegundua mapungufu?
Huna akili bali kumtetea muuaji na mwizi.

Jibu hoja usilete ngonjera zako hapa, kwa nini CAG kwenye ripoti yake kaona mapungufu?
 
Raisi anafata mfumo au mfumo unamfata Raisi?Kati ya Mfumo na Raisi kipi kinabadilisha chezake kikatiba?We kiazi nijibu hayo maswali.
Kiazi babaako mzazi aliyezaa pumbavu.
Mfumo unatengenezwa na rais? kwa hiyo mfumo wa uongozi huu wa CCM umeasisiwa na rais gani?
 
Kwani ametaka kwenda wapi akakwama kwa sababu ya barabara?

Uzuri ni kwamba Chuma mwenyewe alisema mtanikumbuka sio kwa mabaya(kumbe alijua anayo mabaya)

Bali kwa mazuri
Hii ni coment ya mtu ambae bado anategemea wazazi wake
 
Mimi mpuuzi lakini wewe ni mpumbavu nimekuuliza plea bargaining kama ilikuwa fair kwa nini CAG amegundua mapungufu?
Huna akili bali kumtetea muuaji na mwizi.

Jibu hoja usilete ngonjera zako hapa, kwa nini CAG kwenye ripoti yake kaona mapungufu?
Mapungufu yapi! wakati sheria imetungwa na bunge na bado inaendelea kutumika?CAG alichosema waliokusanya hizo pesa hawajaziweka zote kwenye account iliyotengwa,kitu ambacho waliokuwa wakifanya hivyo wapo kwenye Serikali,sasa kama wapo kigugumizi cha nini kuwauliza? endelea kutete majizi tu.
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Bajeti ya 2022/2023 zaidi ya 2.9 trilion ya ujenzi wa barabara, na hakuna hata 1 km ya lami iliyojengwa na hizo pesa zipo wapi? Kweli tuna rais muwajibikaji? Je kweli tuna kiongozi? Je anatufaa kweli huyu? Madudu kibao kila idara na anachukulia poa kazi yake ni kusubiri kuletewa taarifa bila kufatilia, kusafiri nje ila wakati wakati nchi inaliwa, je anapaswa kumlaumu mtu au ajilaumu yeye mwenyewe kwa kuwa mzembe, hana uzalendo na hana uchungu wa hii nchi, madam president plz jiuzuru.
 
Screenshot_20230411-220241.png

Mapungufu yapi! wakati sheria imetungwa na bunge na bado inaendelea kutumika?CAG alichosema waliokusanya hizo pesa hawajaziweka zote kwenye account iliyotengwa,kitu ambacho waliokuwa wakifanya hivyo wapo kwenye Serikali,sasa kama wapo kigugumizi cha nini kuwauliza? endelea kutete majizi tu.
Tetea jizi jambazi muuaji dikteta Magufuli
 
Kiazi babaako mzazi aliyezaa pumbavu.
Mfumo unatengenezwa na rais? kwa hiyo mfumo wa uongozi huu wa CCM umeasisiwa na rais gani?
Yaani kichwa chako kimejaa Nzi.Ebu rudia kusoma ulichoandika
 
Back
Top Bottom