Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Miaka 2 ya Rais Samia, hakuna barabara mpya iliyojengwa

Kwa nini pesa za uviko zipelekwe kujenga madarasa badala ya kuboresha hosipitali?Mafungu yaliyotengwa kwa madarasa mlipeleka wapi hizo pesa hadi mnatumia za UVIKO?
Hivi pesa zatozo zilikuwa zakujenga nini?
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Mbona dar zima zinajengwa?
 
Chunya makongorosi imekamilika, katavi kwenda tabora imekamilika, ileje mpemba, mwendo kasi wa mbagala unakamilika, ring road dodoma inajengwa au ulitaka barabara zikamilike za kwenda chooni kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Mtafuteni Lucas mwashambwa na CM 1774858 waje kutueleza kwa kina ni miradi ya miundombinu waliyosema imejengwa.

Wso kutws kuchwa kumvika kilemba Chifu Hangaya ili kulinda teuzi zao.

Nchi imeshawashinda CCM ndo maana uongo kwao ni kama shati
 
Kwamba hawa wanaoiba sasa hivi serikalini ikitokea baadae akaja Rais mwingine mwenye machungu na nchi akawaamuru wazirudishe mtasema ananyang'anya matajiri pesa?

Ww ulikuwa mtumishi mshahara wako ulikuwa Tsh 900,000/- (take it home) lkn unamiliki utajiri wa Tsh Bil 8 na zaid tusikuhoji umezipataje?
Acha uongo magufuli hakuna fisadi alie mnyanganya pesa tofaoti na wafanya biashara mafisadi wanafahamika wengi wao ni vigogo wa ccm taja 1 kigogo alie mpokonya mali alizo iba?lakinj hata yeye Magufuli alikuwa mwizi ndio maana alifuta kazi mkaguzi na msimamizi mkuu wa hesabu za serikali
 
Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.

Je kwa mwendo huu tutafika? Je, kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?

Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.

Je, tuseme Serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Huku barabara Arusha naona zinajengwa taa zinawekwa Sasa sijui kwenu nyie manaa nasema nilichoona
 
Kwahy hakuna barabara inayojengwa kwa sasa Nchi nzima?Au unazungumzia barabara mpya kabisa?

Sasa kwa nini uanze mpya wakati hata za kuunganisha mikoa baado?Si bora amalize hizo kwanza.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Hiyo mtu wa Chato yuko na chuki na samia leo bwawa la nyeyerere liko mwisho leli inazidi kujengwa kwenda tabora mpaka kigoma pia tabora mwanza kafungua mipaka tuliishi kama kisiwani
 
Hujielewi, wewe ndio unajua priorities? Kwa hiyo hakuna hospital iliyoboreshwa au kujengwa kwa kipindi cha miaka miwili?
Kwa nini pesa za uviko zipelekwe kujenga madarasa badala ya kuboresha hosipitali?Mafungu yaliyotengwa kwa madarasa mlipeleka wapi hizo pesa hadi mnatumia za UVIKO?
 
Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.
Wasukuma hamjui uchumi.
Ingelikuwa wewe ungeendeleza vipi mirandi mikubwa aloacha yule kichaa aloanzisha bila utaratibu.?
Alitumia kuiba na kunyanganya watu hela ku finance hayo mabarabara
Sukumagang sijui wanatumia viungo gani kufikiria
 
Basi bora yule mwizi ata angeiba ajaza pesa gorofa kumi,lakini barabara tulikuwa tunaziona kudadadeki
Hata uwenja wa ndege wa chato tuliona wakati ukijengwa,pia magu aliacha kila kila kitu katanya na kamaliza mfano bwawa la nyerere daraja la kwanza leli mpaka mwanza kigoma barabara za mwendo kasi Magomeni mbagala mashule huyu mama hakuna kazi yoyote ambayo kaisha ifanya
 
Hivi ile kauli ya wapinzani mmeisahau kuwa awamu ya tano inajali Sana maendeleo ya vitu na siyo watu,awamu ya sita wanajali Sana maendeleo ya watu na siyo watu ndiyo maana wapinzani na wanaharakati wametulia,kwakuwa wanajengwa watu,kwa hiyo wewe was bara bara utulie tu,kwa maana siyo zamu ya vitu Tena,Sasa hivi ni watu,umenona utafunaji huo ulioibuliwa na CAG Raisi,karibu mkuu kiongozi,makamu wa Raisi,,waziri mkuu hawashtuki bila Shaka nchi iko kwenye mrengo sahihi wa awamu ya sita
Huu ndio mwaka wa kwanza kwa CAG kutoa ripoti zake? Toka 2015 ripoti ya mwaka gani ya CAG ambayo ilifanyiwa kazi?

Baada ya CAG aliyefukuzwa kazi Assad kuibua sakata la sh t1.5 kutojulikana matumizi yake waliwajibishwa waliokula hela au aliyeibua upotevu wa pesa? SUKUMAGANG acheni unafiki.

Kuna awamu ambayo wanasiasa wa upinzani wameshambuliwa, wameuawa na kupotezwa, kubambikiwa kesi, kufungwa gerezani kwa makosa ya uongo, haki ya kufanya siasa kuminywa na kufutwa ni JPM kinyume cha sheria?

Leo kuna maridhiano hakuna wasiojulikana, haki za raia na kufanya siasa nchini zipo, maridhiano ya kuponya madhila ya awamu ya shetani Magufuli nyie sukumagang hamtaki mmekasirika? Mlitaka hali ya uhasama iendelee ili mbali na mamlaka ya kumiliki haki za kisiasa peke yenu?
SUKUMAGANG acheni unafiki!

Hayo maendeleo ya vitu in expense ya uhai wa watu yana faida gani? Na barabara zinajengwa kama mabanda ya kufugia nguruwe wiki moja?
SUKUMAGANG acheni unafiki!
 
Acha kuongea kama nawe ulibinywa kichogo ukawa flat wakaaribu medula oblongata! Mumakunduchi mmoja wewe usie na chogo
Kama unajiamini na unachoongea, una hoja ya kutetea unachoamini ya nini kuporomosha matusi badala ya hoja?

Jibu maendeleo ni barabara tu? Halafu ile barabara ya moroko na kwenda Mbagala anajenga nani? Au Mungu wenu Magufuli katoka makaburini Chato kaja kuijenga?
 
Back
Top Bottom