Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
- Thread starter
- #161
Hizo zote zilisha jengwa miaka ya nyuma..Soma hapa [emoji116]View attachment 2586544
Hizo zote zilisha jengwa miaka ya nyuma..Soma hapa [emoji116]View attachment 2586544
Unamdanganya nani?Hizo zote zilisha jengwa miaka ya nyuma..
Huna akili Kwa kusema Magufuli ni muuaji Kwa Sababu hata mauaji yalitokea hata enzi za kikwete na mkapa lakini hawakuitwa hivyo.
Watu waache lugha chafu.. mtu anatembea na mke wa mtu lakini anadhinda mirandaoni kusema mafu mwuajiHuna akili Kwa kusema Magufuli ni muuaji Kwa Sababu hata mauaji yalitokea hata enzi za kikwete na mkapa lakini hawakuitwa hivyo.
Hongera sana Mkuu kuishi Mbweni.Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.
Wasukuma hamjui uchumi.
Ingelikuwa wewe ungeendeleza vipi mirandi mikubwa aloacha yule kichaa aloanzisha bila utaratibu.?
Alitumia kuiba na kunyanganya watu hela ku finance hayo mabarabara
Wewe kuna hoja umejenga? Hauko smart mjinga anza kukaa kimya ufiche upumbavu wakoMbna unatumia WINGI hoja unajenga na watu wangapi?Kaa kmya acha kudhihirisha utegemezi wako wa fikra
Wewe mpumbavu kukataa ukweli kuwa Magufuli ni muuaji, enzi za Kikwete kulikuwa na wasiojulikana?Huna akili Kwa kusema Magufuli ni muuaji Kwa Sababu hata mauaji yalitokea hata enzi za kikwete na mkapa lakini hawakuitwa hivyo.
Siku ukiwaza kwa kutumia kichwa chako nistue tujenge hojaWewe kuna hoja umejenga? Hauko smart mjinga anza kukaa kimya ufiche upumbavu wako
Huna hoja mpuuzi mmoja una stress za maisha zinakutesa unajiona you are bright kumbe pumbavuSiku ukiwaza kwa kutumia kichwa chako nistue tujenge hoja
Funga bakuli lako we f.siiHuna hoja mpuuzi mmoja una stress za maisha zinakutesa unajiona you are bright kumbe pumbavu
Imeanza mwaka gani kujengwa?Mkuu kuna majitu mapuuzi hapa nchini! Kabingo-Manyovu kupitia Kibondo, Kasulu na Buhigwe iko inajengwa kiwango cha lami sasa sijui wanataka barabara gani! Daraja la Busisi karibia linakamilika, bwawa la Nyerere karibia linakamilika na SGR inaendelea kujengwa! Mama apewe heshima yake aisee!