Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,126
- 4,169
TGSB ni laki 3 na kitu hiyoNi sh ngp?
Ndilo linaleta tatizo kwenye kutoa ushahidi?Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Sio mahakama tu bali ni sehemu nyingi watu wana diploma wanalipwa Tgs BMara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Jiongeze wewe! Kwani hujui mahakamani hakuna mshahara Bali posho? Andaa mazingira ya Kula bila kunawa hasa kipande Cha dhamana na wale wanataka kesi zisizo na mshindi ule bata mjini!Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.
Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Wewe unaiona ndogo hiyo?TGSB ni laki 3 na kitu hiyo
EEEH!TGSB ni laki 3 na kitu hiyo
Ndogo Mkuu.Wewe unaiona ndogo hiyo?
Acha kazi. HujalazimishwaNdogo Mkuu.
Sifanyi uko ila ni pesa kidogo sana, by the way wewe ndiye unapanga viwango vya mishahara ya watumishi wa serikali?Acha kazi. Hujalazimishwa
kwa hiyo unashauri watu wasifanye kazi serikalini ?Hakuna mtu mwenye akili timamu na anaejitambua anaweza kufanya kazi katika hizi taasisi zetu. Na hapo ndio unapokuja kugundua ya kwamba working Class ya Bongo sehemu kubwa imejazwa na wapumbavu.