Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

kwa hiyo unashauri watu wasifanye kazi serikalini ?
Wagome mshahara waongezewe na kama vipi waache kazi tu lkn hakuna wanachokifanya zaidi ya kupiga mchakamchaka usio na mafanikio. Wengi wanaishi maisha ya taabu sana, madeni mwanzo mwisho
 
Binafsi,
Mahakamani hata Kama mshahara ni elfu 30.

Ntamehauri mtu aende TU.

Hivyo hivyo na TRA
 
Binafsi,
Mahakamani hata Kama mshahara ni elfu 30.

Ntamehauri mtu aende TU.

Hivyo hivyo na TRA
Usipime ubora wa Kazi Ajira kwa Mianya ya Rushwa. Hizo sehemu zote ulizotaja ni Rushwa tupu ndio inawafanya wasurvive kazini lakini Mshahara ni wa hovyo sanaa
 
Government is the most stupidest organization ever

Ndio organization inayolipa watu wake hovyo kabisa

Ndio organization inayonyanyasa wafanyakazi wake vibaya

Ndio organization isiyojali wafanyakazi wake kabisa,ni kuku kila mtu azunguke akifikia kustaafu ndio mwisho

Halafu still mawananchi yanakimbilia kazi huko,very stupid bunch

Mkuu umeamua uwatukane na wananchi!

Unashauri wakimbilie wapi?
 
Wafanye kazi zao wao kwa wao wauziane vitu na huduma bila kuishirikisha serikali kwa lolote

Wananchi wamekua wanahudumiana milenia na milenia kwa raha mustarehe kwa vitu na huduma mbalimbali kwa hiyari mpaka wengine wakawa matajiri,miji mikubwa ikajijenga kabla hata serikali haijavumbuliwa

Hivi ukifanya kazi kwa juhudi,ukautumia ubongo wako kumpatia mwanadamu fulani kitu anachokitaka at a fee,wewe unahitaji hela ya serikali hivi uipeleke wapi?

No wonder seerikali ina treat wananchi wake horribly na still wananchi hawakomi....

Wanaifata hapo matakoni as if serikali ina kisima cha hela wakati serikali hiyo inawafata kuwakata hela ili ipate hela yenyewe.

Serikali sio kitu cha kuifanyia kazi kabisa,ni nyonyaji na haijali watumishi wake kabisa ndio maana ili waweze kuishi inabidi wale RUSHWA kubwa sana...cha ajabu serikali hiyo hiyo inarudi nyuma kumwambia huyu mfanyakazi anaepokea 300k asile rushwa like really?

Hakuna private sector company inaajiri graduate student at 300k in TZ...nooo!...I dont believe this.

Ila serikali bila aibu inalipa graduates 300k per month..kumbe serikali yenyewe ina beg for disaster ya kuibiwa na kua abused maana yenyewe ndio imeanza nonsense ya abuse from the begining...

You cant run the government machinery kwa income abuse ya kiasi hiki....anaepata shida ni finally mwananchi wa kawaida maana yeye anakua extorted na government kama government na wafanyakazi wa government on the other hand

Wananchi ultimately wanapokea fina total resultant of all abuses from the top to the bottom put together...

Nchi ya hovyo sana hii....still govt inakuja kukwambia "uzalendo kwa lazima"....yaani "tupende serikali kwa lazima"

Nonsense kabisa
Inasikitisha na kutia uchungu sana mkuu..!! Yaani mtu analipwa 5M halafu mwingine analipwa 400k kwa mwezi halafu wote mnatumikia serikali moja, it's not fair.

Kuna watu wanaiibia serikali kwa upumbavu wa serikali yenyewe. Kuna rafiki yangu anakaa kazini masaa matatu tuu anaingia saa 1:30 au mbili saa tano anasepa kisa etii anafanyia kazi 460k anayolipwa na serikali huku ni kuiibia muda serikali kusiko na mfano na wanao umia ni Wananchi wa kawaida mnoo.
 
Back
Top Bottom