Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 740
President ni mtu wa juu sana please fuata utaratibu so kila mtu akiguswa tu kwa president, fuata procedures nenda mahakamani with envidence u' ll see.
Halafu wapo mission ni nani/nini hizo ni christian and slaa sources hata kama kuna kitu siariaz ukitumia wapo mission,radio tumaini, uhuru,tanzania daima,rai,mtanzania,annur, watu wataona ni one side kampeni
be careful
Tunamweka Dr. Slaa madarakani tuone kama hatashughulika na wapuuzi kama akina DANDOO.President ni mtu wa juu sana please fuata utaratibu so kila mtu akiguswa tu kwa president, fuata procedures nenda mahakamani with envidence u' ll see.
Halafu wapo mission ni nani/nini hizo ni christian and slaa sources hata kama kuna kitu siariaz ukitumia wapo mission,radio tumaini, uhuru,tanzania daima,rai,mtanzania,annur, watu wataona ni one side kampeni
be careful
Tunamweka Dr. Slaa madarakani tuone kama hatashughulika na wapuuzi kama akina DANDOO.
Kama taratibu zimefuatwa na kama ujuavyo kesi za masuala ya ajira hazipo kwenye mfumo kama kesi nyingine, basi hata rais huonwa mara ya mwisho. na kama DANDOO anadai kwamba hata mkienda kwa kikwete....... basi ujue ameshaweka vigingi njia nzima ya haki.
ACHA KUONGEA KAMA MTU ALIYE KUNYWA BIA NA CHAPATI AHSUBUHI
isikilize ndo utajua...98.0fm
Hivi wapo ndio ile redio ya kanisa?
Like I heard this question from you in few other threads..makes one wonder...does it IRK u if it is ??and then again does the church got anything to do with what might be spoken lest they give directives??am tired of drumrolls of asking is ths church's stuff, is the padre that..awww..too way low!can u let bygones b bygones and don't wonder abt what may have been? Coz they have been..Hivi wapo ndio ile redio ya kanisa?
Kikwete, please come out clean!