MHINDI Dandu akiri kumweka Kikwete MFUKONI!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MHINDI Dandu akiri kumweka Kikwete MFUKONI!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ubungoubungo, Oct 29, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Juzi wakati nasikiliza radio WAPO, kuna mmama mmoja kutoka Kibamba, alipiga simu kwa mgombea mmoja hivi akawa analalamika kuwa watamfanyia nini ikiwa atachaguliwa, hasa juu ya suala la Mhindi mmoja ambaye amemfukuza mtoto wake kazi na kumchapa makofi bila kumpa chochote, uyo mama na wengine wameenda hadi Ikulu lakini hakuna lolote ambalo JK amefanya juu ya uyo anayewaonea...anadai Dandu (Dandooo) aliwatishia kuwa, HAWAWEZI KUMFANYA LOLOTE HATA WAKIENDA IKULU, YEYE AMWEKA KIKWETE MFUKONO hawataasaidiwa...wananchi wamebaki bila matumaini.

  Naongea hivi kwasababu wamama hao waliongea kwa public na simu zao zimehifadhiwa na WAPO mission kama kuna mtu anayetaka kufuatilia....nilitaka nisiiweke hapa kwasababu ya kuogopa usalama wa huyo mama kwani hawa mafisadi huwa hawachelewi kumtumia mtu majambazi ili kufuta ushaidi, nikaona kuwa kwasababu ilishaenda kwenye hewa/radio kwenye public, walishaskia na siajabu watakuwa wanamfuatilia yule mama ili kupoteza ushaidi.

  huyu Dandoo ndo yule Mhindi mwenye magari mengi sana ya mizigo yanayoenda Congo, anayo miradi mingi sana, na kwa wale wa mbeya, ndo yule mwenye ukumbi wa Danduu kule karibia na hospitali ya Meta. ndo anasema amemweka kikwete mfukoni...kabisaaa. rais wetu kawekwa mfukoni na wahindi.

  cha maana hapa kwangu ni,
  1. kuiomba selikali kuilinda hii familia, kwasababu inaweza kupotea mara moja kuanzia sasaivi ili kupoteza ushaidi.
  2. kikwete anasemaje kuhusu hili, kama ameshindwa kuwasaidia wananchi, sasa basi ajisafishe ili tujue kuwa rais wetu hajawekwa mfukoni na mndindi fulani.
   
 2. P

  PWAGU Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  President ni mtu wa juu sana please fuata utaratibu so kila mtu akiguswa tu kwa president, fuata procedures nenda mahakamani with envidence u' ll see.
  Halafu wapo mission ni nani/nini hizo ni christian and slaa sources hata kama kuna kitu siariaz ukitumia wapo mission,radio tumaini, uhuru,tanzania daima,rai,mtanzania,annur, watu wataona ni one side kampeni
  be careful
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tatizo langu sio wapo mission, hii wapo ni radio ya public inayosikilizwa na watu wote wakristo kwa waislam so kitu kikiongelewa kwenye kitu cha public hiyo ni issue serious. pili, mimi si muumini wa wapo, sisali wapo ni mtu tu kama wewe. tatu, tatizo letu sio slaa wala wapo, na sio kwamba slaa ndo alikuwa anahojiwa...wagombea wote wamehojiwa na wapo, sawasawa tu na atn walivyomhoji lipumba, slaa na wengine wote kasoro jk.

  the problem is, kwanini mhindi huyu anasema amemuweka rais wetu kwenye mfuko wake wa suruali? au kaputula?...the problem here sio kwenda kumuona rais...kwasababu kila mtu mwenye akili timamu anaelewa hapa kuwa, huyo mama na watoto wake madereva walitakiwa kwenda mahakamani hata jk atakuwa amewaambia hivyohivyo kuwa waende mahakamani. tatizo langu ni hii lugha chafu ya huyo dandu....nashangaa hauoni kama prez wako amedharauliwa kiasi cha juu. mara ngapi hawa mafisadi kuanzia huyu danduu, kina RA, kina mapapa wanaopambana na Mengi na wengine wengi ....watatamba hadi lini kuwa wamemuweka prez wetu kwenye mfuko wa suluali? hili ni jambo dogo kwako?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kila mwenye hela kwa CCM ni wa kuheshimiwa.
  Uyo mama awe mpole mpaka mabadiliko ya viongozi yakitokea vinginevyo ataambulia kufungwa.
  Usicheze na hela
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tatizo hao akina mama watakuwa hawana ushahidi wa kutosha kama Dhando alitamka kauli hizo..wanaweza kutunga hilo ili kuvuta hisia za maumivu waliyoyapata!
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tunamweka Dr. Slaa madarakani tuone kama hatashughulika na wapuuzi kama akina DANDOO.
  Kama taratibu zimefuatwa na kama ujuavyo kesi za masuala ya ajira hazipo kwenye mfumo kama kesi nyingine, basi hata rais huonwa mara ya mwisho. na kama DANDOO anadai kwamba hata mkienda kwa kikwete....... basi ujue ameshaweka vigingi njia nzima ya haki.
  ACHA KUONGEA KAMA MTU ALIYE KUNYWA BIA NA CHAPATI AHSUBUHI
   
 7. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  jambo hili ni gumu na kubwa sana kulitunga, hawajatunga. mambo ya kutunga si kama hayo. binafsi nilisikitika sana. basi hata wakimweka mfukoni wanyamaze wasiwe wanasema, manake najiona kama tuko bado kwenye ukoloni.
   
 8. S

  SUWI JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahahahaahhh!! Du kumbe kunywa bia ba chapoo morning ni balaa... sintojaribu nisijeongea utumbo mie!!!
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kweli, hata kama sijawai kunywa pombe, nahisi pombe na chapati za asubui yaweza kuwa kichekesho....ati prez ni mtu wa juu sana, hili halipingiki, lakini kumbuka yupo pale kwaajili ya kusolve matatizo yetu. mbona watu wengi wameenda na ametoa tamko wamesaidiwa, anashindwa kwa mafisadi wa kihindi tu?
   
 10. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hilo ni kweli wahindi ndo wanaongoza nchi jiitu patel ndo kiongozi wao,mfano mdogo tu kandarasi zote hasa zenye pesa wameshika wahindi,mi sishangai ni kweli awekwa mfukoni,na sijui atajinasuaje!
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wahindi wangapi sasaivi watamweka jk mfukoni? yule aliyewapa chadema ml.100 naye anataka kubadilisha mwelekeo wa upepo nini, kwasababu wanajua chama cha kijani kiko mwishoni kufariki bado miaka mitano tu.
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hivi wapo ndio ile redio ya kanisa?
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  isikilize ndo utajua...98.0fm
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kikwete, please come out clean!
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  sawa
   
 16. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  huoni uvivu kuuliza jibu!!!!!
   
 17. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  majungu...:A S angry: mahakama zipo, angedai haki zake huko na si kwa viongozi wa CCM
   
 18. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Like I heard this question from you in few other threads..makes one wonder...does it IRK u if it is ??and then again does the church got anything to do with what might be spoken lest they give directives??am tired of drumrolls of asking is ths church's stuff, is the padre that..awww..too way low!can u let bygones b bygones and don't wonder abt what may have been? Coz they have been..
   
 19. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  How can he come out clean kwa environment tuliyonayo hivi sasa!!
   
Loading...