Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Yani katika sample zote kwenye kutaka kufanya blind test mtu kaenda kuchukua oil.Hiv oil Ina DNA au RNA
Hii inaonesha uwezo wetu wa kufikiria uko vipi.
Yani katika sample zote kwenye kutaka kufanya blind test mtu kaenda kuchukua oil.Hiv oil Ina DNA au RNA
Labda wabunge wetu wanaokuja hapa kama wanaweza kupeleka hoja bungeni tufanye mabadiliko watoto wetu baadae watuongoze kwenye majanga kama haya.Mkuu hii ndio inaitwa reasoning sasa shangaa v8 zinagharimu mabilioni tunashindwa wekeza kwenye vitu muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
si kifaa hcho hcho cha covid kwani tiger hana genetic material tiger anazo
Hatujabeza , katuamsha wengine na kutuacha na maswali mengi.Nadhani tusibeze kila kitu.
mimi nmeona nkae kimya tu hata walioni quote sijataka niwajibuKatika hili huyo unayemsifia hapa kapuyanga sana, ni ujuha wa kupuuzwa na wewe umeuvagaa.
Kama ulimsikiliza vema kwenye majibu yake sampuli zimesoma Inconclusive, Indeterminate, Positive na Negative.
Kwenye hitimisho yeye hakujali hizo terms ngeni kwake, akajikita tu positive na negative ili kufurahisha akili yake ndogo na wajinga wengi wengine wasiojua au wasiotumia ubongo.
Tatizo ni pale akisharopoka mzee, kazi yetu ni kusifia tu, na wengine kwa maksudi ili tu kulinda ugali wao.
Rejea alivyokuwa anahangaika kusoma kile kimemo sampuli inconclusive na indeterminate, kuna kitu utagundua pale ambacho alikusudia usikie nini na sio nini.
Endeleeni kupiga mapambio, taaluma inalawitiwa aibu tunaona sisi wenye utimamu wa akili.... naungana na Baba Swalehe kusema huu ni UJUHA.
Kweli kabisa mkuu.You are so smart very very smart..
Tatizo ni moja viongozi wetu wengi wako kushibisha matumbo yao tu akisha kaa kwenye V8 full AC anatembelea Matako tu uku kesha piga zake dili la 100M hayo uliyo yawaza yatabaki kua mawazo tu.
Twende mbele turudi nyuma bado sana tunambwela sana kwenye Disaster and Risk Management kwaio kinacho endelea apa ni kama mfa maji tu haishi kutapatapa..
Vipi hizo zilozosoma Negative na PositiveKatika hili huyo unayemsifia hapa kapuyanga sana, ni ujuha wa kupuuzwa na wewe umeuvagaa.
Kama ulimsikiliza vema kwenye majibu yake sampuli zimesoma Inconclusive, Indeterminate, Positive na Negative.
Kwenye hitimisho yeye hakujali hizo terms ngeni kwake, akajikita tu positive na negative ili kufurahisha akili yake ndogo na wajinga wengi wengine wasiojua au wasiotumia ubongo.
Tatizo ni pale akisharopoka mzee, kazi yetu ni kusifia tu, na wengine kwa maksudi ili tu kulinda ugali wao.
Rejea alivyokuwa anahangaika kusoma kile kimemo sampuli inconclusive na indeterminate, kuna kitu utagundua pale ambacho alikusudia usikie nini na sio nini.
Endeleeni kupiga mapambio, taaluma inalawitiwa aibu tunaona sisi wenye utimamu wa akili.... naungana na Baba Swalehe kusema huu ni UJUHA.
5% accurate? That's serious.
Peleka mtori badala ya mavi majibu una Typhoid hahahahaHotuba ya Rais ni kama kajivua nguo mwenyewe...
Ana kiri taasisi zake haziko makini...
Anatufanya na sisi tusiziamini.
Rais tangu anaingia madarakani yeye ni kulalamika tu.
Kalalamika kuhusu awamu zilizopita, na pia bado analalamika awamu yake.
Mtu wa kulalamika hafai kuongoza msafara
Kama nawe ni mtaalamu wa afya then we surely have a long way to go.Hiki kirusi kina RNA.Wanachofanya ni wanaiconvert kuwa DNA,then wanapima.Hii njia haitegemei host yupoje generically... They only determine the presence of this molecule.si kifaa hcho hcho cha covid kwani tiger hana genetic material tiger anazo
unatudanganya umepima oil
haya bwana mimi niko hukuhuku kwa whites res katika taaluma ya neuroscience hakuna anayedharau mtuKwanini umechukua mfano wa oil na sio mbuzi? Mbuzi nae hana dna?
Nyie ndio wasomi wapuuzi, mnaamini Kila linalofanywa na whites kwamba ni zuri na salama huku mkijidharau blacks.
Hata avatar yako inaonyesha jinsi ulivyo mtumwa.
You are right. Garbage In Garbage Out. How can incompatible samples be used to produce desired results? Labda Tz.GIGO
Jr[emoji769]
Na ndio maana nimeweka haya maswali hili viongozi wetu humu waone waanze kushirikiana na rais. Kwani rais anaonesha yuko tayari kuwapa support wana sayansi wetu hili tusikae kusubiri kuletewa kila kitu hapo baadae.Kama ulifuatilia hotuba yake kwa umakini aliwaomba wanasayansi wetu waamke ,wawe active
Sent using Jamii Forums mobile app
hujanielewa nadhani mbona hamna kitu nmekubishia mkuu wanguKama nawe ni mtaalamu wa afya then we surely have a long way to go.Hiki kirusi kina RNA.Wanachofanya ni wanaiconvert kuwa DNA,then wanapima.Hii njia haitegemei host yupoje generically... They only determine the presence of this molecule.
au unataka niongee process nzima jamni kwamba ndo nionekane naijua duuh 😂Kama nawe ni mtaalamu wa afya then we surely have a long way to go.Hiki kirusi kina RNA.Wanachofanya ni wanaiconvert kuwa DNA,then wanapima.Hii njia haitegemei host yupoje generically... They only determine the presence of this molecule.
Kwa nini unashangaa kuhusu 'oil' wakati hushangai kuhusu mbwa au mbuzi? Suala lilikuwa ni kujua uhalisi wa vipimo vinavyofanywa. Ndiyo maana maabara waliambiwa hizo ni sampuli za binadamu. Kama wangejua ni sampuli za mnyama na majibu yakawa 'positive', hiyo ingeashiria kwamba mnyama pia anaweza kuupata huo ugonjwa na hicho kingekuwa kichocheo cha utafiti zaidi. Kwa mafuta kuwa 'positive' kunaashiria kasoro kwenye upimaji: vipi mafuta yaonekane kuwa magonjwa? Kule kufichwa ukweli kuhusu sampuli zilizopelekwa kumewezesha kupatikana uhalisi wa ubora wa upimaji unaofanyika katika maabara zetu na hilo ndilo lilikuwa lengo lenyewe.Asante mkuu, hile ya mbuzi sijashangaa manake marekani mbwa nao wamekutwa na corona.
Hio ya oil hata sijui walifikiria nini.
unahitajiKama nawe ni mtaalamu wa afya then we surely have a long way to go.Hiki kirusi kina RNA.Wanachofanya ni wanaiconvert kuwa DNA,then wanapima.Hii njia haitegemei host yupoje generically... They only determine the presence of this molecule.
Hiki kitu nishakujibu kule mwanzo..ila ngoja nikujibu hivi.hujanielewa nadhani mbona hamna kitu nmekubishia mkuu wangu
nmeukiza oil ina genetic material??
Hiki kitu nishakujibu kule mwanzo..ila ngoja nikujibu hivi.
Wanasayansi wamegundua kuwa kirusi cha coronavirus kinaweza kukaa kwa muda fulani katika uso wa vitu mbalimbali kama chuma,mbao n.k...Katika utafiti wao,ni lazima walipima hivyo vitu kujua vinahold virusi kwa muda gani.Sasa nawe nikuulize,chuma au mbao ina DNA au RNA? Yaani hapa tu hujagundua kuwa kinachopimwa ni DNA ya kirusi?
yaah ni dna ya kirusi why apeleke oil sasaHiki kitu nishakujibu kule mwanzo..ila ngoja nikujibu hivi.