Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mdude kadai mkipima corona mnapimwa mavi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
You are so smart very very smart..

Tatizo ni moja viongozi wetu wengi wako kushibisha matumbo yao tu akisha kaa kwenye V8 full AC anatembelea Matako tu uku kesha piga zake dili la 100M hayo uliyo yawaza yatabaki kua mawazo tu.

Twende mbele turudi nyuma bado sana tunambwela sana kwenye Disaster and Risk Management kwaio kinacho endelea apa ni kama mfa maji tu haishi kutapatapa..
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nndiyo hujielewi kabisa! Unadhani Rais anafanya peke yake? Kuna intelijensia ya hali ya juu.
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kwa mbuzi?? Nae hana DNA? Ww unaejiita mtaalam wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Tatizo ni kutoa mini vipimo vya wataalamu wetu. Kupima na kukuta Mapapai na Mafenesi positive haina maana kuwa vipimo ni vibaya maana inawezekana kabisa kukuta hayo matunda yalikuwa contaminated na virus. Si umesikia kuwa virus wanaweza kuishi kwenye different surfaces kwa siku kadhaa.

Kwa sasa nchi nyingi za kiafrika wanatumia Molecular basedkufanya test. Hizo test kits zinazotumika jwingine sidhani kama zimeshafika huku..... Hata hivyo ni wataalamu wetu ndiyo walipaswa kujua kama tests zina matatizo. Ila kama ni kweli basi kuna walakini mkubwa na ni uzembe ambao wanastahili kutumbuliwa.
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiger alipimwa kupitia vifaa gani bwana mtaalam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema kuwa Rais ana Intelijensia nzuri halafu hapo hapo nchini Tanzania kumekuwa na Mauwaji ya Ajabu Ajabu ya Wasiojulikana, Rasilimali za Tanzania zinaibiwa Kutwa na Wajanja na hata Hujuma na Kiwango cha Uhalifu kinaongezeka Tija yao hapa hao wana Intelijensia ( Usalama ) ipo wapi Ndugu? Intelijensia ni dhana pana mno na haiishii tu kwa Rais na jinsi wanavyomlisha maneno ( taarifa ) zao bali ni Jambo Mtambuka mno. Na japo umepongeza kuwa Intelijensia yake iko vizuri ila tokea Uhuru hadi leo Tanzania haijawahi kuwa na Intelijensia mbaya sema tu kuna Marais wengine walikuwa hawaitumii ipasavyo hasa kwa mambo Chanya ya Kiusalama ya nchi yetu hii.
 
Nadhani tufanye tena utafiti. Hasa papai zilizoko kwenye masoko, au mashambani. Kama virusi viko kwenye popo pia huwa wanakula mapapai.mbuzi nao huishi na binadamu.
 
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?
Mkuu hii ndio inaitwa reasoning sasa shangaa v8 zinagharimu mabilioni tunashindwa wekeza kwenye vitu muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom