Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Hiki kitu nishakujibu kule mwanzo..ila ngoja nikujibu hivi.
Wanasayansi wamegundua kuwa kirusi cha coronavirus kinaweza kukaa kwa muda fulani katika uso wa vitu mbalimbali kama chuma,mbao n.k...Katika utafiti wao,ni lazima walipima hivyo vitu kujua vinahold virusi kwa muda gani.Sasa nawe nikuulize,chuma au mbao ina DNA au RNA? Yaani hapa tu hujagundua kuwa kinachopimwa ni DNA ya kirusi?
naamini wewe ni daktari kweli umesahau sifa za virus hapa duniani chief

tunasoma toka advance
 
Just an addition to what have been said, In PCR, negative controls as Non-template control (NTC) in which forexample una add water (instead of DNA sample) with MasterMix and desired pair of F & R primers. If any amplification takes place, this would mean that either water or mastermix is contaminated. This will help you to solve any issues related to false positive amplification as in case of oil au hvo vtu unasema

mantiki ya yeye kusema yale jana ni nini jee tujiulize
Ndo ulifaa uulize hivyo sasa toka mwanzo... Lengo ni sisi na dunia kwa ujumla tujue nini kinaendelea kuhusiana na hili suala...Huoni lilivyokuwa ajenda maeneo mbalimbali? Tena ajenda ya kufikirisha si kukejeli.
 
unapopima papai kwa kutumia vipimo vinavyopima covd 19 matarajio yangu kwa usahihi majibu yangesoma INDETERMINATE/INVALID kwa kuwa kipimo hiko hakijafundishwa kupima sampuli hiyo.

unapopeleka sampuli zingine tofauti na sampuli ya binadamu majibu yakija positive au negative hapo ujue kuna ualakini mkubwa sana ambao haupaswi kupotezewa. ndio maana mhe aliomba mataifa mengine nayo yajaribu kujiridhisha kwa kupeleka sampuli tofauti tofauti akasema "hata liukuka tu" ikiwa kama itawezekana kupata sampuli yake. lengo ni kuangalia ubora wa vipimo vyetu

kwa majibu yaliyosoma positive au negative napendekeza yafuatayo yafanyike:
1. ichunguzwe njia iliyotumika kupata sampuli za viumbe tajwa (kwale, papai, mafenesi, mbuzi, kondoo na oil)

2. ichunguzwe namna sampuli zilivyokuwa handled hadi kufikia maabara

3. ifuatiliwe kwa ukaribu namna vipimo vinavyofanyika katika maabara yetu kwa maana ya wapimaji na vifaa. kuna taarifa kuwa kuna nchi zimekataa vifaa toka china kwani kuna vilivyotafitiwa na kubainika vina uwezo chini ya kiwango

alichokizungumza Rais si cha kubeza hata kidogo watanzania na mataifa kote duniani wachukue hiyo kama starting point ya tafiti
 
Ndo ulifaa uulize hivyo sasa toka mwanzo... Lengo ni sisi na dunia kwa ujumla tujue nini kinaendelea kuhusiana na hili suala...Huoni lilivyokuwa ajenda maeneo mbalimbali? Tena ajenda ya kufikirisha si kukejeli.
ajenda ipi sasa

watu wanakufa aisee haya nyie endeleeni na agenda mkuu mi sina neno tena la kuongeza hapa.

kama unaona magufuli yuko sahihi kupeleka oil haya sawa

wengine wamentukana. hapa nmeona nkae kimya tu sasa layman ukaanza kumweleza hata jinsi SNPs na INDELS zna create au ku abolish restriction endonuclease RE - sites kwenye hyo process ya upimaji hatokuelewa utaishia tu kutukanwa

ninyamaze mko sa hihi wakuu na magu yuko sahihi sana kupeleka oil

nachowasihi mjikinge tu na mfollow WHO guidelines

CIAO
 
Hiyo intelijensia aliyo nayo angetumia kuongoza haya mapambano moja kwa moja yeye mwenyewe ingekuwa vzr zaidi badala ya kuwatumia PM na Ummy. Hata hizo data pamoja na update zote za huu ugonjwa angekuwa anapelekewa yeye na kuzisoma then kutolea maamuzi ya moja kwa moja. Lakini huu mtindo wa kuvizia wenzake waseme au watende na yeye kuja kucritisize kama vile akina chadema sio mzuri. Yeye ndo serikali afanye kama wanavyofanya akina Mseveni, Kagame na marais wengine directives zote wanatoa wao huku wakisaidiwa na mawaziri na wataalamu husika. Maelezo yote ya ugonjwa atoe yeye kwenye vyombo vya habari baada ya kushauriwa na wataalamu badala ya kusubiri kuhutubia kwa kuchallenge kila kinachofanywa na wasaidizi wake. Tunashauri asiwe 'post action' awe 'pre-action' huko ndo kupambana kwa pamoja.
 
ajenda ipi sasa

watu wanakufa aisee haya nyie endeleeni na agenda mkuu mi sina neno tena la kuongeza hapa.

kama unaona magufuli yuko sahihi kupeleka oil haya sawa

wengine wamentukana. hapa nmeona nkae kimya tu sasa layman ukaanza kumweleza hata jinsi SNPs na INDELS zna create au ku abolish restriction endonuclease RE - sites kwenye hyo process ya upimaji hatokuelewa utaishia tu kutukanwa

ninyamaze mko sa hihi wakuu na magu yuko sahihi sana kupeleka oil

nachowasihi mjikinge tu na mfollow WHO guidelines

CIAO
Dah mkuu oil si samples tu kama zingine.Wala hio si ajenda.Ajenda ni hizi mbili; #1.Kuna uzembe unaendelea katika maabara yetu ile. #2.Kuna tatizo na hivi vifaa vinavyotumika
Ila sawa nimekuelewa.I'll adhere to WHO guidelines. #StaySafeToo.
 
okay nakuja muda si mrefu kukuelejeza namna inavopimwa hii covid hzo issue za defect na kwa nini either tumwamini au tusimwamini Jpm
 
Wewe unahisi kadanganya jambo gani?

Amedanganya kuhusu papai kuwa na covid-19 huku akijiita mwanasayansi. Sio kila kipimo au reagent inaweza ikakupa majibu. Majibu ya kitu usichokitafuta au unachokotafuta kwa kutumia njia isiyosahihi huwa ni au false positive (FP) au fals negative (FN). Angekumbuka hili - hata angetumia reagent ya covid kuona kama kuna malaria katika sample ya binadamu, angepata FN au FP au undetermined au unspecified. Kama mwanasayansi - alipaswa kuheshimu methodology ya testing!!
 
wewe
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata k

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
WEWE huna akili, jaribu kutumia bunduki kusonga ugali, jaribu kutumia uma kusonga ugali jaribu kutumia soda kupika uji au ugali, jaribu kuweka kokoto kwenye choo kasha flashi; mashine yoyote ina masharti ya kutumia sio unajaribisha ujinga wako unakuja kusema in public
 
BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Maskini Ummy mwl. Hajui ashike lipi aache lipi?
 
Amedanganya kuhusu papai kuwa na covid-19 huku akijiita mwanasayansi. Sio kila kipimo au reagent inaweza ikakupa majibu. Majibu ya kitu usichokitafuta au unachokotafuta kwa kutumia njia isiyosahihi huwa ni au false positive (FP) au fals negative (FN). Angekumbuka hili - hata angetumia reagent ya covid kuona kama kuna malaria katika sample ya binadamu, angepata FN au FP au undetermined au unspecified. Kama mwanasayansi - alipaswa kuheshimu methodology ya testing!!
Uliwahi kusikia ile tuhuma ya kuandikiwa utafiti wake?
 
wewe

WEWE huna akili, jaribu kutumia bunduki kusonga ugali, jaribu kutumia uma kusonga ugali jaribu kutumia soda kupika uji au ugali, jaribu kuweka kokoto kwenye choo kasha flashi; mashine yoyote ina masharti ya kutumia sio unajaribisha ujinga wako unakuja kusema in public
Kweli kabisa. Unaendaje kupima oil maabara ambayo hupimwa vinasaba.
 
Vilaza mtamuona smart, ni sawa na gwajima watu wapo wanaomuona bonge la genius. Ila wenye akili tunajua jamaa ni kilaza grade A, haihitaji akili nyingi kujua ujinga anaoufanya, na anafanya makusudi akijua ana support kubwa ya vilaza kumbuka Tz ina vilza wengi kuliko watu wenye akili. Kwa hiyo hajali, as long as majority wanaungana na ushenzi wake yeye ni twende hivyo hivyo.
Hapa umetoa hoja zipi sasa kupingana na hoja iliyopo ili hao vilaza waelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwalimu Nyerere aliandika barua UN kuwaeleza kuwa tupo tayari kujitawala. Kwanini tusiandike barua tena UN kuomba Gavana arudi ili aongoze nchi tumeshindwa kujitawala?
Yap! Unaweza kabisa kuandika hiyo barua akaja kuitawala hiyo familia yako ambayo mumeo kashindwa kutawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom