Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mku sasa hiyo vaccine una uhakika nayo kwamba haitakuongezea uwezekano wakupata virus? Wazungu wanaweza kutengeneza yakwao yani for internal use na nyingine yakuleta huku Africa yenye madhara. Je what will happen pamoja na chanjo tukaendelea kufa?

Sikia nikwambie kitu ambacho ukikielewa kinaweza badilisha maisha yako. Naomba uondoe kabisa wazo kua wazungu wanataka kutuua kichwani, ondoa wazo kua wazungu wanataka kutuua kichwani. Nimeandika mara mbili kabisa.

Kwa nini nasema hivyo, kama we ni kichwa ngumu umemezeshwa ujinga na jiwe na wenzake basi ishia hapa huwezi elewa ila kama uko open minded endelea.

Wazungu wangetaka kutuua wangefanya hivyo zamani sana, zamani mno. Dawa tunazotumia pharmacy leo unadhani zinatengenezwa bongo? Zote zinatoka nje, machine za kielektroniki tunazotumia niambie machine gani imetengenezwa Tanzania, hakuna hata moja, zote zinatoka nje. Miaka yote hiyo tunatumia vitu vyao leo tu ndiyo wakae waseme watengeneze vaccine waweke kitu cha kutuua ndani? Vaccine tunazotumia za wazungu hadi leo hii unajua ni zaidi ya 30? Nadhani wewe mwenyewe ulipewa chanjo ya vitu kama smallpox, polio etc ulivyokua mdogo, hadi leo hii ukipeleka mtoto wako hospitalini anapewa chanjo ambayo imetengenezwa na hawa jamaa, nyingine zote hazituui leo ndiyo waje kutengeneza ya kutuua kwa sababu ipi?

Naomba ukae ujiulize sana hili swali, wana sababu gani ya kutumaliza sasa hivi huku walikua na uwezo huo miaka nenda rudi?

Hii chuki ya wazungu kwa nini imekua kubwa sana kipindi hiki? Jibu ni moja tu, Jiwe anajua watanzania wengi vilaza, mkipewa adui mkatajiwa kabisa kua adui huyu hapa basi mnafurahi, jiwe kataja adui wa maendeleo kua ni wazungu anawaita mabeberu kitu ambacho ni cha kijinga maana hata Tanzania ni mabeberu kwa kua tunafata capitalism, na kwa kua zamani wazungu walitutawala, hiyo inahamsha sana hisia za watu, sasa wote wanaungana naye mkono kushindana na adui mzungu. Tunapigana vita ambayo haipo.

Hutaki kuamini? Hizi chanjo mnazohisi kua zinatengenezwa na wazungu naomba nikwambie mimi ni mtu wa academics, nimesoma sana hadi vyuo vikubwa duniani mnavyovisikia kwenye movie nimegraduate japo degree yangu ni upande wa electronics najua vizuri vitu kama chanjo vinatengenezwaje sababu vyuo vikubwa huku unaruhusiwa kusoma unachotaka nje ya major yako, biology nimeisoma chuoni sana tu, wanaofanya research za vaccine najua ni akina nani, nafahamu A to Z za kuanzia chanjo kutengenezwa hadi watu wanagawiwa. Watengenezaji ni binadamu kama wewe na mimi tu wengine wana PhD zao toka vyuoni, serikali zao hata hazihusiki, wao wanapewa genome ya virus wanaanza kutafuta njia ya kupambana, hata mi naweza enda kaa maabara leo nikaanza research ya kutafuta chanjo ya covid na ikipatikana nikapeleka findings zangu kama ni halali wakaniruhusu kuanza testing.

Ni kitu mtu yeyote yule anaweza fanya. Watanzania ambao hamjawahi toka nje mkawa exposed mkaona watu wanavyoishi mtakaa mhisi kila mzungu anamuda na nyie ila ukweli hakuna hata anayewafikiria, kila mtu ana shida zake huku, na wao wana madeni kibao ya kulipa, maisha huku bei ghali watu wanapiga kazi double shift kuingiza hela, yaani hakuna mwenye muda na nyie kabisa. Nilivyokua bongo kulikua na story kua ukienda nje kuna madarasa ya wazungu tu na waafrika mnatengwa kufundishwa ujinga hahaha, nimeingia chuo (sikitaji mtakimbia) wote tunachanganywa humo humo, wote course zilezile mtu unachagua unayotaka, nikasema kumbe nilikua namezeshwa ujinga tu.

Naomba ujaribu kufikiria nje ya box, mara moja mbili utajikuta akili yako ghafla inaanza kuona ukweli, usikubali kupelekeshwa kijinga na hawa jamaa kila wanachosema unameza tu, wao ni politicians watasema wanachotaka kama wakijua utawapa support.
 
Huyo anayesema mabeberu hawatupendi alisoma kwa mabeberu. Na moyo waje ulipokuwa na matatizo alikimbilia kwa mabeberu kutibiwa. Juzi anawaomba mabeberu yasamehe mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa sana watu wakimbeza mh rais,kwanini mnapenda kumuona kilaza sana akiwa tofauti na nyie?yaani mnachukulia kama vile rais hana watu wasomi kama wewe wanaomfanyia kazi zake.

Yaani hapo umeongea upupu halafu unathubutu kuja hapa mbele yetu kuongea upupu huo,its funny labda nikuambie kitu ulichoandika hapa ni kujifanya kujua lakini hujui na rais ana watu smart kuliko wewe na nyie wote wa mtandaoni.
Hoja yako hasa ni ipi?
Naona umeleta mipasho tu hapa badala ya kujibu hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Unao weledi juu ya maswala ya Chemistry na Labolatory? Kama unayo ni katika kiwango cha kuingia kwenye kundi la wataalam?

Kama huna unaonaje ukikaa kimya kuliko kuendelea kujidhalilisha!

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Weakness za huyu zimezidi, hasa wakati kama huu wa janga hili linaloua watu kwa speed ndiyo analeta weakness zake ni mbaya mno. Angalieni brazil wanavyozika kwa kasi, hilo ndilo linalokuja kutokea Tanzania ipe mwezi moja tu. Watu wanajihisi wana kinga nzuri ya mwili ila ukitoka nje tu angalia wenye vitambi na kisukari walivyo wengi, watanzania wangapi wanafanya hata mazoezi? Tunaendelea kujipa moyo kijinga tu, nakwambia subiri uone, vaccine isipopatikana mapema ikasambazwa Tanzania tutapoteza watu wengi mno hamtoamini
Mashine ya maabara imesetiwa kupima vyenye DNA ukiweka kitu kingine kama oil papai fenesi lazima ikupe jibu la postive kwa sababu inasoma kitu kipya ambacho hakipo kwenye mdumo wake, na pia wapimaji wa maabara hawajapimwa kwani waweza kuwa na maambukizi pia hasa ukizingatia wanafanya kazi katika mazingira magumu sana
 
Mimi najiuliza huyo aliyepeleka oil maabara alikuwa na akili sawasawa? Yaani kipimo Cha maralia ukapime minyoo unategemea upate jibu gani? Ningemuona ana akili pale angepeleka watu wasio na Corona halafu majibu yaje positive au kinyume chake, lakini kilichofanyika ni inathibitisha kile watu weupe wanavyotuchukulia
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni tatizo kuzijaribu mashine kwa kupima vitu hivyo.. Ilitakiwa mashine iwe na jibu mojawapo kati ya matatu aidha +Ve, -Ve au ISIYOTAMBULIKA (aidha Inconclusive au Indeterminate) na sample za hivyo vitu ingesoma kwenye jibu la 3 sababu inakuwa haijakidhi kigezo kikubwa cha kupimwa ambacho ingekuwa ni lazima sample inayotokana na Binadamu tu ndio ingesoma +Ve au -Ve. Huo ubunifu wa kupima ubora wa vifaa hivyo ni mzuri sana.
 
If you want to act superior act without attacking

Yes tunataka kuoneakana sisi tunajua au Rais wetu anajua kwanini tutupe lawama kwa wengine mabeberu sijui labs experts?

Kama Mh angekuja na innovative ideas za kutaka Nini kifanyike lakini sio kuattack hii ingesaidia katika kukuza mapambano
Na so far Nina amini kabisa hao mabeberu wangekua wanataka kutuua sisi hata wasingetumia njia ndogo kiasi hiki.


Na so far Kama walipima hivyo wale 100+ alosema wamepona anahisi wamepona kweli???
 
Mimi najiuliza huyo aliyepeleka oil maabara alikuwa na akili sawasawa? Yaani kipimo Cha maralia ukapime minyoo unategemea upate jibu gani? Ningemuona ana akili pale angepeleka watu wasio na Corona halafu majibu yaje positive au kinyume chake, lakini kilichofanyika ni inathibitisha kile watu weupe wanavyotuchukulia
Tatizo mtukufu kamrejesha mwigulu Nchemba kuwa mmoja wa washauri wake wakuu imekuwa ni Tabu kubwa huku Bashite huku Nchemba watazidi kumshauri ujinga mpaka kufika miaka 10 Nchi itakuwa na uhusiano mbaya na mataifa mengi Duniani
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi umeeleweka

Upupu on flick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hili huyo unayemsifia hapa kapuyanga sana, ni ujuha wa kupuuzwa na wewe umeuvagaa.

Kama ulimsikiliza vema kwenye majibu yake sampuli zimesoma Inconclusive, Indeterminate, Positive na Negative.

Kwenye hitimisho yeye hakujali hizo terms ngeni kwake, akajikita tu positive na negative ili kufurahisha akili yake ndogo na wajinga wengi wengine wasiojua au wasiotumia ubongo.

Tatizo ni pale akisharopoka mzee, kazi yetu ni kusifia tu, na wengine kwa maksudi ili tu kulinda ugali wao.

Rejea alivyokuwa anahangaika kusoma kile kimemo sampuli inconclusive na indeterminate, kuna kitu utagundua pale ambacho alikusudia usikie nini na sio nini.

Endeleeni kupiga mapambio, taaluma inalawitiwa aibu tunaona sisi wenye utimamu wa akili.... naungana na Baba Swalehe kusema huu ni UJUHA.
 
wangempateje mtu asiye na corona?au wangeenda kumchukua kijijini ndaniiiiiii.
Mimi najiuliza huyo aliyepeleka oil maabara alikuwa na akili sawasawa? Yaani kipimo Cha maralia ukapime minyoo unategemea upate jibu gani? Ningemuona ana akili pale angepeleka watu wasio na Corona halafu majibu yaje positive au kinyume chake, lakini kilichofanyika ni inathibitisha kile watu weupe wanavyotuchukulia
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Amesoma machache ila uchunguzi tuliompa ulikuwa na vitu vingi sana
ndo mjue TS Tanzania sio mchezo mchezo
 
Sidhani kama ni tatizo kuzijaribu mashine kwa kupima vitu hivyo.. Ilitakiwa mashine iwe na jibu mojawapo kati ya matatu aidha +Ve, -Ve au ISIYOTAMBULIKA (aidha Inconclusive au Indeterminate) na sample za hivyo vitu ingesoma kwenye jibu la 3 sababu inakuwa haijakidhi kigezo kikubwa cha kupimwa ambacho ingekuwa ni lazima sample inayotokana na Binadamu tu ndio ingesoma +Ve au -Ve. Huo ubunifu wa kupima ubora wa vifaa hivyo ni mzuri sana.

Kwani wewe hujamsikia akisema indeterminate na inconclusive kwenye kimemo chake.?

Sema alitilia mkazo kwenye kile alipenda yeye kikufikie [pos, neg], nina wasi wasi na ripoti ile... alikuwa anajing’ata sana ila lengo lake ilikuwa kupotosha.
 
Wambie hawa maana mtu haelewi bado anabishana hawajui kupima vitu maabara kuna mambo mengi kama gram staining na mengineyo
Usikalili, kuna vitu vinaitwa interference substances, hiyo oil hata ungeichanganya na damu yenye Corona inaweza isisome kabisa. Protein zinazopimwa zinaweza kutokuonekana kwasababu umezichanganya na vitu vingine visivyo hitajika, na vime interfere na kuwa masked.
For that reason huwezi kupata an intended outcome.

Kila machine inakuwa na intended application, kwanini upime mapapai wakati manufacturer kakwambia upime damu?!
Hata hiyo damu ina requirements zake ili ipimwe, zipo machines zinapima whole blood, na zipo zinazopima plasma au serum pekee. Sasa ukijidai unajua ukapima synovial fluid, au cerebral spina fluid ukapata indeterminate au usipate najibu hilo siyo kosa la machine, hiyo ni human error.

Zipo random error na systemic error due to chemical expiration or insufficient chemical or reagents au system malfunction caused by unknown or known mechanical issues, but intentional faults ni human error na hazikubaliki kwenye scientific experiment unaweza kusababisha madhara makubwa.

Machine zenyewe umepewa msaada, testing kits umepewa msaada, badala kufanya validation unaanza kufanya experiments ambazo hata hazina protocol.

Ni ujinga kujidai unajua wakati hujui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usiogope, mbinu iliyotumika kwa Zimbabwe haiwezi kufanya kazi Tanzania. Kwa nini, kwa sababu maskini wa Tanzania wanajitegemea kwa kuzalisha vyakula vyao ilihali wale wa Zimbabwe walikuwa wanawategemea walowezi wa kizungu. Na kwenye msosi ndo kuna kelele nyingi. Mengine hata yakifanyika maskini wataona maisha yanasonga kawaida.

Suala la kumvamia kijeshi kama Sadaam haliwezekani kwani hana silaha za hatari.
Kutumia uasi wa ndani kama kwa Gadafi pia ni ngumu kwani wananchi waliowengi wanamuelewa, hata hao wachache wasiomwelewa wanavumilia kwa matumaini kuwa 2025 ataondoka kwa mujibu wa katiba. Hivyo ondoa hofu. Hawawezi mfanya kitu zaidi sana watakwamisha miradi yake tu.

Wazungu washenz wakitaka lao wanakutafutia angle tu mkuu wazungu washenz mkuu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom