Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Oil haina DNA...but the virus has its own DNA...Na kinachopimwa ni DNA ya hicho kirusi,kama ipo.
Wewe unafikir wenzetu waligundua vipi kirusi kinakaa kwa muda gani kwenye surfaces za vitu kama mbao,chuma etc...Unafikir hivyo vitu vina DNA au RNA?

Nina soda yako hapa mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonesha bado hujapevuka kiprofessional. Kama mashine zenu zingekuwa smart unachokisema kingeonekana pale yaani machine ingedetect kuwa hii sample si sahihi. Kama kweli wewe ni mtaalam wa maabara basi tuna shida
 
Yeye alifanya kwa lengo la kuwapiga chenga wapimaji waonekane majuha, siyo kwa ajili ya kutaka kujua kama kuna viumbe wengine wanaoweza kuambukizwa korona...
 
Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
Kuna wajinga wengi nimeona wanakebehi
 
Yote hayo yanatokana na mtazamo wa mtu tu...kuna jambo atafanya au utaongea,likawa sahihi kwa huyu na si sahihi kwa yule.Ila pia haiondoi ukweli kuwa mtu ana strength na weakness zake.
Weakness za huyu zimezidi, hasa wakati kama huu wa janga hili linaloua watu kwa speed ndiyo analeta weakness zake ni mbaya mno. Angalieni brazil wanavyozika kwa kasi, hilo ndilo linalokuja kutokea Tanzania ipe mwezi moja tu. Watu wanajihisi wana kinga nzuri ya mwili ila ukitoka nje tu angalia wenye vitambi na kisukari walivyo wengi, watanzania wangapi wanafanya hata mazoezi? Tunaendelea kujipa moyo kijinga tu, nakwambia subiri uone, vaccine isipopatikana mapema ikasambazwa Tanzania tutapoteza watu wengi mno hamtoamini
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app


Umepotoka brother na sayansi yako. Kama kimepimwa kitu kisichostahili kwa nini kipimo kitoe jibu +ve or -ve? Kwa nini kisiandike Invalid Sample ? Dig more
 
Ni kweli uliyoyaongea...Nadhani sisi tushazoea kutegemea watu fulani,hatujiamini na kama ulivyosema serikali zetu hazijali...hata hela za kufanya research hatupatiwi na serikali...

Nadhani kukitokea majanga kama haya ndo utaona tunaanza kuhighlight tulipokosea kana kwamba tuna nia ya kurekebisha,na janga likipotea yanasahaulika tena,tunawaachia wenyewe....

Nadhani watu walikuwa against ile ishu ya chanjo ili tusionekane underdogs tu😆😆😆😆;hata mimi binafsi sikukubaliana nayo,ila in short we're inferiors..,and we deserved it.
Shida yetu hatuna vitendea kazi. Kila kitu vifaa vya maabara tunategemea wazungu ndo maana wakitaka kutuhujumu ni raisi sana kufanikiwa. Sijui sasa tunavukaje na lini "tutatoboa"!!!
 
Beberu ni mbuzi Dume ina maana CCM imeamua kuwaona Wazungu wakataa ujinga wa wana CCM ni madume Mabeberu na wao ni mbuzi jike? iweje CCM mnawaita wengine Beberu nyinyi mnajiona na jike? CCM kutumia kauli mbiu ya Cyprian Musiba kilaza mbwekaji wa CCM ni Aibu kubwa, kila mwenye nguvu ni Beberu kwa nini CCM mnajiona ni wanyonge wakati hakuna haki za binadamu mnawaonea wapinzani kwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na bado wazungu mabeberu wakawaachia mtambe, acheni kuwasingizia uongo, tambua kuwa siku mabeberu wakiamua kuwafanyia kazi lazima Tanzania itawekewa vikwazo na kuwa kama Zimbabwe na Sudan za enzi ile .
Aisee JF Kuna vituko siku hizi...
 
Weakness za huyu zimezidi, hasa wakati kama huu wa janga hili linaloua watu kwa speed ndiyo analeta weakness zake ni mbaya mno. Angalieni brazil wanavyozika kwa kasi, hilo ndilo linalokuja kutokea Tanzania ipe mwezi moja tu. Watu wanajihisi wana kinga nzuri ya mwili ila ukitoka nje tu angalia wenye vitambi na kisukari walivyo wengi, watanzania wangapi wanafanya hata mazoezi? Tunaendelea kujipa moyo kijinga tu, nakwambia subiri uone, vaccine isipopatikana mapema ikasambazwa Tanzania tutapoteza watu wengi mno hamtoamini
Mku sasa hiyo vaccine una uhakika nayo kwamba haitakuongezea uwezekano wakupata virus? Wazungu wanaweza kutengeneza yakwao yani for internal use na nyingine yakuleta huku Africa yenye madhara. Je what will happen pamoja na chanjo tukaendelea kufa?
 
Wala usiogope, mbinu iliyotumika kwa Zimbabwe haiwezi kufanya kazi Tanzania. Kwa nini, kwa sababu maskini wa Tanzania wanajitegemea kwa kuzalisha vyakula vyao ilihali wale wa Zimbabwe walikuwa wanawategemea walowezi wa kizungu. Na kwenye msosi ndo kuna kelele nyingi. Mengine hata yakifanyika maskini wataona maisha yanasonga kawaida.

Suala la kumvamia kijeshi kama Sadaam haliwezekani kwani hana silaha za hatari.
Kutumia uasi wa ndani kama kwa Gadafi pia ni ngumu kwani wananchi waliowengi wanamuelewa, hata hao wachache wasiomwelewa wanavumilia kwa matumaini kuwa 2025 ataondoka kwa mujibu wa katiba. Hivyo ondoa hofu. Hawawezi mfanya kitu zaidi sana watakwamisha miradi yake tu.
Naona hapo kuna point kwamba watasubiri tu 2025 haiko mbali. Uvamizi sirahisi. Atakuja rais mwingine atawaachia wanachotaka wazungu kama ni madini na vitu vingine lakini wawe tu wavumilivu katika kipindi hiki cha mpito.
 
Ndio maana nasema wanaCCM wanamtukuza na kumwabudu Magufuli.
Hawa ndio wale wanaohisi dalili za corona lakini wanaamua kujifukizia kama Mr. Ndasa kisa mkuu kasema, kumbe mda mwingine Mzee alikuwa anachangamsha genge tu
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
You are a scientist, act like one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vilaza mtamuona smart, ni sawa na gwajima watu wapo wanaomuona bonge la genius. Ila wenye akili tunajua jamaa ni kilaza grade A, haihitaji akili nyingi kujua ujinga anaoufanya, na anafanya makusudi akijua ana support kubwa ya vilaza kumbuka Tz ina vilza wengi kuliko watu wenye akili. Kwa hiyo hajali, as long as majority wanaungana na ushenzi wake yeye ni twende hivyo hivyo.
Best post in 04/04/2020
 
Usiishie hapo tu Mkuu,
Pima hata TV kama ina Ujauzito,
Pima Pepsi kama kifua kikuu,
Pima Friji Kama ina Kisukari,
Pima makochi Kama yana homa kali,
Pima Covid 19 kama ipo kwenye Mchele, Sukari, Maji etc.
Pima meza Kama zina homaeya Ini ukiweza.
Akapime na maji ya mto Ruvu Ruaha rufiji ruvuma ziwa Vicktoria nyasa Tanganyika manyala na maziwa mito visims vyote Nchi nzima
 
Kama ulifuatilia hotuba yake kwa umakini aliwaomba wanasayansi wetu waamke ,wawe active
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom