Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Wakuu;
Habarini na poleni na #covid19.Nina imani hili nalo litapita tu.Tuchukue tahadhari na pia tuzidi kumuomba Mungu.

Mimi ni mmoja wa watu waliofanikiwa kufuatilia hotuba za karibuni za mheshimiwa rais.Na nimegundua mheshimiwa yupo vizuri upande wa intelijensia.

Kuna mambo atayasema ila kwa harakaharaka utayachukulia ni upuuzi,ila pale utakapoamua kukaa na kufikiri kwa kina,hakika yanafikirisha.

Tumebeza aliposema kuna baadhi ya vitu vimetest positive for #covid19 kama mapapai na mbuzi,ila ukimuuliza mtu kwa nini anabeza hawezi kukupa jibu linaloeleweka,zaidi atakwambia ni kituko kupima papai na mbuzi.Ila mtu hajui nini maisha baada ya kupima hivi vitu,nikimaanisha tumegundua nini baada ya kufanya hivi;bila shaka kuna shida inaonekana mahali.

Tumesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument.

BTW sioni shida ya hivyo vitu kupimwa kwan hata kwa wenzetu washafanya na hata kugundua mnyama jamii ya tiger mwenye maambukizi ya #covid19.Na hili hatukuliona kituko,ila tukifanya sisi wenyewe tunajiona kituko.

Asante Mheshimiwa na timu yako kwa kutufumbua macho.Hakika mjadala umekuwa hot kwa wale wanaofikir kwa kina.Intelijensia yako ipo juu.
#StaySafe.
#ChukuaTahadhari.
ZOte ni taka taka , pamoja ma wewe mataga ni taka taka.
 
Mzee wa mafichoni kacopy hoja iliyokuwa kwenye vyombo vya habari vya dunia tokea Machi mwaka huu
Kituko chake ni mapapai na mafenesi
Dunia inacheka uzuzu wa mafenesi na mapspai na dizeli
 
Mkuu,huyo ni moja ya wale wahojiwa wa Masanja Mkandamizaji huko Dom waliosema wanahitaji Covid 19 kwa wingi.
Jibu hoja. Do you know how testing for coronavirus is done? What lab techniques are employed? Do we use PCR or ELISA? Jibu hoja naona unajikita kwenye matusi! Wakati wa matusi utakuja, nitakujibu kwamatusi, jibu hoja kwanza kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesikia malalamiko kutoka nchi mbalimbali zilizoendelea kuhusu hizi test kits.Kwamba zina walakini fulani hadi baadhi ya nchi kuzisusa.Ukiangalia kupitia hii scope,utagundua mawazo ya rais yapo hai,yanamake sense. Hili limeibua upya huu mjadala mitandaoni na sehemu mbalimbali za dunia..,and probably we'd know the validity of this argument

Inawezekana kweli alikuwa na hoja ya msingi kuhusu test results zilizopatikana lakini jinsi alivyoelezea hoja yake ndio ilikuwa tatizo!! Yeye alilaumu watendaji kuwa hawakuwa professional na mpaka akadiriki kusema kuwa pengine walikuwa wanatumiwa na mabeberu [ in this case mabeberu ni CHINESE kwani test kits zimetoka China} badala ya kusema kuwa matatizo yalikuwa kutokana na contamination na poor quality ya vitendea Kazi!!! Duniani kote wanalamikia ubovu wa vitendea kazi walivyonunua kutoka China ; hawalaumu professionals wao kwa mapungufu ya results za tests!!!
 
Back
Top Bottom