Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Mheshimiwa Rais ana Intelijensia ya juu mno

Pinga pinga mna tabu sana
Acha umbumbumbu kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila la hovyo hovyo baya dogo kubwa usikariri ujinga kuwa ni kupinga pinga hizo ni fikra za Le mutuz kubwa jinga, mmekomaa na postive mkasahau negative na pia mkasahau kumfukuza kazi waziri wa Afya kwa kosa la kupokea maabara kimeo.
 
Acha ushamba kuchanganya mambo

Jitu zima Unaandika BTW kwenye sentensi

Wewe huna tofauti na watoto wa shule za kata sasa wana andika xaxa
BTW-By The Way... Mbona inatumika sana tu au wewe ni jambo la ajabu kwako.
 
mimi ntakupa jibu la kueleweka

oil haina dna

pcr machine inafanya amplification za dna etc and etc

kupeleka kitu kisichotakiwa kwenye kifaa kilichoundwa kufanya kazi flani tu ni ujuha

wataalamu wote wa afya tunamshangaa.. tunamshangaa watu tunakaaa na hyo thermocycler analeta story za upupu

yaani huyu jamaa

... aani nmechoka jamani si mumwambie akae kimya shida iko api

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umechukua mfano wa oil na sio mbuzi? Mbuzi nae hana dna?
Nyie ndio wasomi wapuuzi, mnaamini Kila linalofanywa na whites kwamba ni zuri na salama huku mkijidharau blacks.
Hata avatar yako inaonyesha jinsi ulivyo mtumwa.
 
Shida ipo, kwa nini sample za mapapai na mafenesi ziwe na corona. Na nyie professionals wa lab mfanye utafiti kama kweli hizo test kits zao zinafanya kazi kweli.

Au pengine ni uzembe wenu katika procedure ndio sababu ya kucontaminate kila sample inayoletwa, na kupelekea kila sample kuwa na corona.

Maabara ya taifa mujitathmini la sivyo mtaenda na maji.
 
Mie pia nimependa hoja yake na ndio maana nikajiuliza maswali haya.

Maswali yangu ni:

Mpaka lini tutaendelea kulalamika kuhusu kuuziwa/kupewa vitu visivyo bora?

Kwa nini tusitengeneze vipimo vyetu wenyewe kwa ushirikiano wetu wa Umoja wa nchi za Afrika?

Hatuna mahabara? Kuna mahabara ya Umoja wa nchi za Africa hili iwe ina shughulikia magonjwa yetu na ya mlipuko pamoja na kuendelea kufanya utafiti?

Hatuna wana sayansi? Kama wapo serikali zetu lini zitawapa ushirikiano?

Hatuamini mfumo wa elimu zetu?

Kwanini kila kitu tutegemee wengine?; alafu wakitaka kujaribu dawa, chanjo, vipimo vyao kwetu tunakuwa wakali na kulalamika na kusema ni ubaguzi. Mchango wetu kwenye sayansi barani kwetu na duaniani huko wapi?
Mbona wana sayansi wetu wanatumiwa na hizo nchi za nje ambazo tunawategemea kila kitu? Kwa nini sisi tusiwatumie?

Nimeipenda comment yako hii
 
Iliyokimbia majukumu yake.Kusimamia na kufuatilia kwa uakribu zaidi vifaa tiba na muingiliano wa hivyo vifaa tiba vyenye matatizo.
Watu makini humakinika na kuwajibika.
 
Acha umbumbumbu kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali kwa kila la hovyo hovyo baya dogo kubwa usikariri ujinga kuwa ni kupinga pinga hizo ni fikra za Le mutuz kubwa jinga, mmekomaa na postive mkasahau negative na pia mkasahau kumfukuza kazi waziri wa Afya kwa kosa la kupokea maabara kimeo.
ni kweli msipopinga kila kitu mtakula wapi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aqe makini tu jinai ya ku deal na hao watu anawaita mabeberu wasije kutuharibia nchi yetu tu...
Beberu ni mbuzi Dume ina maana CCM imeamua kuwaona Wazungu wakataa ujinga wa wana CCM ni madume Mabeberu na wao ni mbuzi jike? iweje CCM mnawaita wengine Beberu nyinyi mnajiona na jike? CCM kutumia kauli mbiu ya Cyprian Musiba kilaza mbwekaji wa CCM ni Aibu kubwa, kila mwenye nguvu ni Beberu kwa nini CCM mnajiona ni wanyonge wakati hakuna haki za binadamu mnawaonea wapinzani kwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na bado wazungu mabeberu wakawaachia mtambe, acheni kuwasingizia uongo, tambua kuwa siku mabeberu wakiamua kuwafanyia kazi lazima Tanzania itawekewa vikwazo na kuwa kama Zimbabwe na Sudan za enzi ile .
 
Vilaza mtamuona smart, ni sawa na gwajima watu wapo wanaomuona bonge la genius. Ila wenye akili tunajua jamaa ni kilaza grade A, haihitaji akili nyingi kujua ujinga anaoufanya, na anafanya makusudi akijua ana support kubwa ya vilaza kumbuka Tz ina vilza wengi kuliko watu wenye akili. Kwa hiyo hajali, as long as majority wanaungana na ushenzi wake yeye ni twende hivyo hivyo.
Yote hayo yanatokana na mtazamo wa mtu tu...kuna jambo atafanya au utaongea,likawa sahihi kwa huyu na si sahihi kwa yule.Ila pia haiondoi ukweli kuwa mtu ana strength na weakness zake.
 
Kamaliza reagents za bure tu. Tatizo alikuwa hataki kuamini kama number za watu walio positives ni kubwa kiasi hicho. Anashangaa nini wakati kila kitu kipo kama vile hakuna Covid ?Hivyo watu wanaendelea kuambukizana.
CCM wanataka watu waache kuamini covid 19 ipo wajazane misikitini makanisani waambukizane kwa wingi wafe kwa sana wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka 2025.
 
Wanyama kukutwa na Corona virus siyo ajabu hata kidogo. Ajabu ni kutumia matokeo hayo kuhitimisha kuwa covid-19 siyo hatari kwa binadamu.
#covid19 ni hatari ndo maana tunasisitiziwa tuchukue tahadhari
 
Shida ipo, kwa nini sample za mapapai na mafenesi ziwe na corona. Na nyie professionals wa lab mfanye utafiti kama kweli hizo test kits zao zinafanya kazi kweli.

Au pengine ni uzembe wenu katika procedure ndio sababu ya kucontaminate kila sample inayoletwa, na kupelekea kila sample kuwa na corona.

Maabara ya taifa mujitathmini la sivyo mtaenda na maji.
Aliyepeleka vipimo ana corona mpimaji ana corona na pia ana stress za kukosa motisha nyongeza ya mshahara kwa miaka minne , amelemewa na wingi wa vipimo kutokana na watu kufa kwa kasi kubwa huku kila mmoja akitaka apewe majibu ya vipimo vya ndugu zao.
 
#covid19 ni hatari ndo maana tunasisitiziwa tuchukue tahadhari
CCM haitaki tahadhari wanataka mzembee mfe kwa wingi ndiyo maana wameachia watu wakae vijiweni vibarazani mikusanyiko yote ya hovyo huko mitaani vijijini uswahilini kote wenyeviti wa Serikali za mitaa hawakatazi watu kukaa vijiweni kuambukiza wameacha maambukizi yawe makubwa ili CCM ipate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Short and clear Magufuli na serekali yake ni vuguvugu kwenye mapambano haya.
Wameruhusu watu kukaa vijiweni vibarazani mikusanyiko na watoto wanacheza pamoja huko mitaani licha ya mashule kufungwa wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi
 
Back
Top Bottom