Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Mda umefika sasa tubadilike. Sio kila janga tunawategemea watu wa nje. Tujifunze na nakubaliana na wewe kwamba sisi ni wasahaulifu sana.Ni kweli uliyoyaongea...Nadhani sisi tushazoea kutegemea watu fulani,hatujiamini na kama ulivyosema serikali zetu hazijali...hata hela za kufanya research hatupatiwi na serikali...Nadhani kukitokea majanga kama haya ndo utaona tunaanza kuhighlight tulipokosea kana kwamba tuna nia ya kurekebisha,na janga likipotea yanasahaulika tena,tunawaachia wenyewe....Nadhani watu walikuwa against ile ishu ya chanjo ili tusionekane underdogs tu😆😆😆😆;hata mimi binafsi sikukubaliana nayo,ila in short we're inferiors..,and we deserved it.
Hio chanjo na sisi tuanze kutengeneza chanjo zetu huko mbeleni. Hili janga liwe fundisho.