Usikalili, kuna vitu vinaitwa interference substances, hiyo oil hata ungeichanganya na damu yenye Corona inaweza isisome kabisa. Protein zinazopimwa zinaweza kutokuonekana kwasababu umezichanganya na vitu vingine visivyo hitajika, na vime interfere na kuwa masked.
For that reason huwezi kupata an intended outcome.
Kila machine inakuwa na intended application, kwanini upime mapapai wakati manufacturer kakwambia upime damu?!
Hata hiyo damu ina requirements zake ili ipimwe, zipo machines zinapima whole blood, na zipo zinazopima plasma au serum pekee. Sasa ukijidai unajua ukapima synovial fluid, au cerebral spina fluid ukapata indeterminate au usipate najibu hilo siyo kosa la machine, hiyo ni human error.
Zipo random error na systemic error due to chemical expiration or insufficient chemical or reagents au system malfunction caused by unknown or known mechanical issues, but intentional faults ni human error na hazikubaliki kwenye scientific experiment unaweza kusababisha madhara makubwa.
Machine zenyewe umepewa msaada, testing kits umepewa msaada, badala kufanya validation unaanza kufanya experiments ambazo hata hazina protocol.
Ni ujinga kujidai unajua wakati hujui.