Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

PHD za heshima wamepewa wafuatao;
1. J.K. Nyerere
2. Augustine Mrema
3. Benjamin Mkapa
4. Reginald mengi
5. Mama Lwakatare
6. Ongezea wengine .......
 
Kwa wenye busara,ukipewa phd ya heshima,hautakiwi uanze jina lako na Dr. Narudia,kwa wenye busara!

Unamaanisha jk na mengi hawana busara AU WANAOWAITA MADOKTA NDIO WAMEKOSA BUSARA?
 
Mtu akiwa na PHD ya heshima haruhusiwi kuiweka as a prefix. Tanzania tuu kwa ushamba wanajiita DR.X. Juzi kuna mama mmoja nimemsikia akiongea eti kwa elimu yangu hii ya Utaktari sijawahi........etc.. lakini anaelimu gani wakati ana PHD ya kupewa.. ulimbukeni sana bongo.. mtu kuitwa Dr ni so sifa, ni utambulisho ktk jamaii.

Si somi PHD hadi ccm itoke madarakani..
 
Mbona JK anayo shida unawezaje kuitumikia?
Tumeshuhudia mtu Pro Tibaijuka nini anachofanya wizara ya Ardhi hakuna tofauti kabla yake na baada ya yeye
Wasomi wetu ni waoga kutumia elimu zao kwa kuogopa kuonekana wa.....
 
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.

Maendeleo gani?? kama ni kweli basi Teku kuna kazi kweli ya kufanya ili kiwe chuo kikuu kwani ni vituko juu ya vituko lasivyoo kitabaki kuwa chuo kikuukuu kuanzishwa mbeya, juzi juzi tu uongozi umefukuza walimu kijingajinga hivihivi na kwa hoja zaifu
 
Watu wangapi wana PhD lakini mchango wao sifuri, kwa hiyo kama walio na PhD mchango mdogo maana yake wana-justfy wasio na PhD kupewa kutokana na mchango wao. Mara ngapi Sugu amezima vurugu mjini mbeya kidipromasia, nani kachangia muswada wa sheria ya katiba kurudishwa kama sio ngumi za sugu, haya mambo ya namna hii ni utumwa wa kiakili, angalia maprofessor wanavyochemka yaani ni bora wasingepewa. na istoshe huu utaratibu wa PhD za kutunukiwa haujaanzia Tz,
 
Dr love{Pimbi]
Dr nchimbi
Dr Chamileon
Dr Slaa
Dr mrema
Dr kikwete
Dr mengi
Dr magufuli
Dr sugu
Dr ndilamanywa
Dr bana
Dr shein
 
Watu wangapi wana PhD lakini mchango wao sifuri, kwa hiyo kama walio na PhD mchango mdogo maana yake wana-justfy wasio na PhD kupewa kutokana na mchango wao. Mara ngapi Sugu amezima vurugu mjini mbeya kidipromasia, nani kachangia muswada wa sheria ya katiba kurudishwa kama sio ngumi za sugu, haya mambo ya namna hii ni utumwa wa kiakili, angalia maprofessor wanavyochemka yaani ni bora wasingepewa. na istoshe huu utaratibu wa PhD za kutunukiwa haujaanzia Tz,

Nina wasiwasi wewe elimu yako ni ya tuition tena std 6. Huwezi kuwa serious phd ipatikane eti mtu ametuliza ghasia. Think again.
 
Back
Top Bottom