sishangai hata chuo chenyewe ni chuo kikuu cha kata yakekama ujapewa wewe,it means you are powerless in the society.sugu amejituma ndiyo maana kaonekana mchango wake kwa jamii.usimuhukumu mtu kwa maovu yake ilihali hata wewe unayo na hatuyajui coz you are powerless in the society.
Hicho chuo sasa hivi kitatembelewa nawatu wawizara ili kimulikwe kama usajili na walimu wake wanavigezo!Agizo toka Lumumba!Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.
Uliza kata gani maana ni vile vya kata.hicho chuo kiko nchi gani?
Mpaka hapa.Hiki Chuo kimeshapoteza hadhi ya kuwa chuo kikuu.
Phd ndo nini?
Uliza kata gani maana ni vile vya kata.
Hivi ndio vile vyuo credentail yake hata Kenya haipo!!
Dr love{Pimbi]
Dr nchimbi
Dr Chamileon
Dr Slaa
Dr mrema
Dr kikwete
Dr mengi
Dr magufuli
Dr sugu
Dr ndilamanywa
Dr bana
Dr shein
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.