Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy

Hivi Nchimbi siyo Dr. wa Mzumbe (ana PhD ya Mzumbe) kweli huyo?

Hiyo ya Diallo kali kuliko. Hivi anajua hata Harvard ilipo au anaisikia tu?

Yaani bongo we acha tu. Inavyoendeshwa tunajua wenyewe tu. Hakuna sehemu wala sekta iliyo na nafuu.
 
Bora PHD ya kupigana wakati unatetea haki kuliko PHD unapewa kwa ajili ya kutotulia nchini mwako.

Hongera Mh Dr. Joseph Mbilinyi, mbona Jk alipewa ya bureeee mchana kweupe na hamsemi? Dr asiyejua hata hata kwanini nchi yake ni maskini.......majanga!
 
Dr. mwenye gentleman kwenye bachelor hawasemi. kwa mtetezi mkuu wa watu na mwenye masters wanakuja na midomo mikubwa.

Hongera Mh Dr. Joseph Mbilinyi, mbona Jk alipewa ya bureeee mchana kweupe na hamsemi? Dr asiyejua hata hata kwanini nchi yake ni maskini.......majanga!
 
Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy

We n kitasa kaulizie mzumbe universty kaama hakuna pepa ya Nchimbi,..hahhahhahahaha akili za vijana wa CDM znahesabika haya popooooooz
Kwa Dr Sugu,.hahhahahha
 
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.
images
 
We n kitasa kaulizie mzumbe universty kaama hakuna pepa ya Nchimbi,..hahhahhahahaha akili za vijana wa CDM znahesabika haya popooooooz
Kwa Dr Sugu,.hahhahahha

Yaani we ndo kufuli kabisa.. We unadhani kuwa na pepa ndo kuwa na PHD? Tz inaongoza kwa kuwa na vibaka wa elimu. Ujanja ujanja kila mahali
 
Yaani we ndo kufuli kabisa.. We unadhani kuwa na pepa ndo kuwa na PHD? Tz inaongoza kwa kuwa na vibaka wa elimu. Ujanja ujanja kila mahali

We kitasa hujui hata pepa n nini,kojoa ukalale ukoo wako umebaka siasa za Bongo akili hamna mnataka ongoza akili kubwa,hahahhaha dash head ndo znazowajudge nyie kwasasa
Poor Mtei
 
Back
Top Bottom