and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,302
- 39,838
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.