Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Hivi hakuna Bachelor Degree ya Heshima? Wangeanza basi hata na hiy jamani, kweli kabisa PHD?

Mkuu hapo nakuunga mkono..tusidhalilishe elimu..phd si mchezo jamani..kwa nn mrukie kote huko..wakati unaweza ukapewa bachelor degree ya heshima!
 
Unajua hata Muhamad Ally anayo PHD ya heshima
lakini hutasikia akiitwa Dokta...
tatizo bongo wotee wanajiita madokta
Dr.Manyau Nyau
animax.jpg
 
Hii shida yote ni ubovu wa tasnia ya habari. Miongozo ya honorary Degree ipo wazi kuhusu matumizi ya hizi title. Hairuhusiwi kuitumia katika official addressing, lakini utakuta vyombo vya habari ndo vimekazana dr. flani, dr. flani. Kama vyombo vya habari visipomuita kwani atajiita mwenyewe? kwanza hatuwaskii hata siku moja wakijiita mi ni Dr. flani

Hapo nakuunga mkono mkuu...tatizo lipo wazi..media zinajipendekeza..my be kwa ajili ya maslahi flani..hizo honorary kikawaida hata mwenyewe kama ana akili nzuri..sidhani kama atapenda kuitumia hiyo title maana..kiukweli hajaisotea!
 
Haya Mimi simo
PhD ya heshima
What do you expect
And dont forget
Hapa kaz tu
Kila kaz kaz
Apewe tu coz akipewa na asipopewa haibadilishi chochote if you have phd or not what matter is being happy
 
Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy
Ndg Nchimbi baada ya kukataliwa PhD yake ya awali, alirudi Mzumbe main Campus kusoma. Wakati nagraduate degree yangu naye alikuwa anagraduate hiyo PhD yake ya MU. Namaanisha balozi nchimbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom