Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

hahahahahaha tanzania bwana, nini kitabu na research, hana hata artical kwenye gazeti la ijumaa. hahahahahaha!!!!!!
 
Tanzania ni nchi ya kipumbavu na kijinga tu.

Muungwana Nyani Ngabu.... why nchi yetu pendwa ni ya kipumbavu na kijinga???

Nahisi kuna tofauti kati ya nchi (Tanzania) na watu (Watanzania). Kipi kinasabisha kati ya hivi kinazaa kingine?
 
Muendelezo wa PhD za JK.. na apewe tu. Si ndo wameamua hivyo..!? Hii ndoTanzania bhana.
 
Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy

nop,nilisikia tayari mzumbe walimpa nchimbi,nadhan aliisomea,Dialo bado
 
Muendelezo wa PhD za JK.. na apewe tu. Si ndo wameamua hivyo..!? Hii ndoTanzania bhana.

daah nikifikiria navohangaika na assignment,,,wenzangu wanalambishwa Ph.D tu,
ukiwa mwanasiasa hapa Tanzania una enjoy sana jamani
 
Suala si kupigana Bungeni bali suala ni alikuwa anapigania nini.
 
Dah mbona wanakatisha tamaa waliozipata kwa kusoma.
Hadi hii Nchi yetu iendelee kazi kweli

Kwahiyo JK na Reginald Mengi wamezisomea chuo gani? Na ni heshima ipi kwa watu wenye PhD walio zisotea imeshuka kutokana na watu hawa kupewa PhD.
 
Hivi hakuna Bachelor Degree ya Heshima? Wangeanza basi hata na hiy jamani, kweli kabisa PHD?
 
dah mwanangu sugu anakula phd wakati hata diploma hana! haina nouma lakini my best hip hop artist in TZ.
 
Kwa wenye busara,ukipewa phd ya heshima,hautakiwi uanze jina lako na Dr. Narudia,kwa wenye busara!
 
Sasa elimu kweli imeamua kuwa sehemu ya zawadi!!!!!!!

Hata yeye moyoni anajua hastahili!!!!!!!

Viongozi wa hicho chuo muache kujioendekeza kirahisi this much!!!!!!

Shame on you
 
Nchimbi ni bongo lala but ni Dokta. haha haa . Sugu hongera sana
 
Back
Top Bottom