Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,019
Reaction score
2,707
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

Pia soma Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
 
I can guarantee you one thing, Samia anaenda Urusi kwasababu moja pekee, anajua US na wazungu wengine UK na wenzao hawana tena muda nae.

Mambo yetu yalivyokuwa safi na US na wengine hao Urusi tuliwasahau kabisa, leo mambo yametibuka na US ndio tunageukia Urusi kwa kisingizio cha "hatufungamani na upande wowote"

Mbona mambo yetu yalivyokuwa safi na US "tulijifunga" na hao warusi miaka mingi?

Samia anajua ameshaharibu, sasa anajitutumua tu kutafuta psychological relief, kama vile anawaambia US sijali mtachofanya, but deep inside, anaumia anajua amefeli.

Licha ya kuwatuma kina Nyalandu kwenda US kujaribu kutuliza mambo jamaa wamegoma, hawataki story za uongo wao.

Urusi watampa nini kama kile alichozoea kukipata US na UK? Hawana, wako busy na vita yao Ukraine.

Na hata huko kutunukiwa "PHd ya Uongozi bora" ni muendelezo tu wa yale maigizo yao ya kawaida.
 
Tuzo hiyo ni biashara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.
Sawasawa
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF)
Actually anastaili hiyo heshima, mikutano ya kisiasa hivi Sasa inafanyika na vyama vya upizani muda wowote wautakao kitu ambacho mtangulizi wake aliviminya hivi vyama vikaminyika hasa na hakuna Chuchunge yoyote aliyethubutu kufyatua Domo lake.
 
Wote wapo sawa upande wa kuminya demokrasia ila staili yao ni tofauti. Kiufupi Tanzania haina kiongozi ina mtawala
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi.

Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na mchango wake katika kuimarisha hadhi ya Tanzania kimataifa, ikiwemo kupitia sekta ya utalii.

——————

President Samia Suluhu Hassan is scheduled to receive an Honorary Doctorate of Philosophy (Honoris Causa) from the Peoples' Friendship University of Russia (RUDN University). The accolade recognizes her leadership, educational reforms, and contributions to strengthening Tanzania's international diplomacy.

The honorary degree will be conferred during her state visit to Russia, where she is also attending the St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF).
Wajinga jinga Urusi kuna la maana lipi😂😂 nani amewahi kuzamia Urusi
 
Inasikitisha.
 
I can guarantee you one thing, Samia anaenda Urusi kwasababu moja pekee, anajua US na wazungu wengine UK na wenzao hawana tena muda nae.

Mambo yetu yalivyokuwa safi na US na wengine hao Urusi tuliwasahau kabisa, leo mambo yametibuka na US ndio tunageukia Urusi kwa kisingizio cha "hatufungamani na upande wowote"

Mbona mambo yetu yalivyokuwa safi na US "tulijifunga" na hao warusi miaka mingi?

Samia anajua ameshaharibu, sasa anajitutumua tu kutafuta psychological relief, kama vile anawaambia US sijali mtachofanya, but deep inside, anaumia anajua amefeli.

Licha ya kuwatuma kina Nyalandu kwenda US kujaribu kutuliza mambo jamaa wamegoma, hawataki story za uongo wao.

Urusi watampa nini kama kile alichozoea kukipata US na UK? Hawana, wako busy na vita yao Ukraine.

Na hata huko kutunukiwa "PHd ya Uongozi bora" ni muendelezo tu wa yale maigizo yao ya kawaida.
Urus sio mtoaji kama us hivyo huko kaenda kujiuza tu Rusia hana muda na mabakuli ya kiafrica labda kama hawamjui vizuri
 
Hadi kufikia sasa, ametunukiwa jumla ya Shahada 6 za Udaktari wa Heshima (PhD/Honoris Causa).
 
Back
Top Bottom