Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

hata ningekuwa mimi ningemtunikia mana Mary Mwanjelwa naye ni DK sasa sugu kakosa nini mpaka asipewe wakati siku hizi mbeya barabara za mpaka chooni mwambieni na mbowe aongee hata na Tumaini wamfanyie manuva mana udsm hawawez kumpa DR Freeman Aikaeli mbowe INAVUTIAJE??????
 
AaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
!
!
mbona baba nanihii kapewa!?....kuna majimarefu ambae ni profesa kabisa jamani, kuna dokta kifimbo wapo wengi tu



Unajua hata Muhamad Ally anayo PHD ya heshima
lakini hutasikia akiitwa Dokta...
tatizo bongo wotee wanajiita madokta
 
TEOFILO KISANJI ndo chuo gani, kiko nchi gani?
 
Mheshimiwa Mbunge wa jimbo la Mbeya (CHADEMA) anatarajiwa kutunukiwa shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo kikuu cha TEOFILO KISANJI (TEKU) mjini Mbeya kwa jitihada zake za kuleta maendeleo jimboni mwake.Sherehe hizo zitafanyika Main Campus.

Du na mimi ngoja nikagombee ubunge ili ndani ya mwaka niwe naitwa DR
 
Maswala ya mtu binafsi aachiwe yeye mwenyewe kwahyo ata kama anapiga punyeto utamwandika hapa bwana upeo wa mbilikimo
 
dr Mary wa mbeya -kuiba vitambaa hotelini
dr jk ''''wanafunzi kupata mimba ni vihelehele vyao
dr j kapuuuuuya....kula toto changa....
dr abdalah k...ndo aliua viwanda tanzania
dr kawambwa ....kaleta division 5
dr tibaijuka....hajapima viwanja mpaka watu wanauana...

ni dr yupi afadhali apo?either PhD za kijanja zote zifutwe....or wale woote wanaoleta mchango wapewe tu....
 
He deserves to be honoured GO GO GO GO SUGU.
 
Kwa mm sikubaliani na wasomi hao kweli phd sikuizi sio hishu na mm nimehamasisha wanakijiji wenzangu tukafanikiwa kujenga bwawa la samaki moja kti maendeleo makubwa sasa nasubiri kutunukiwa phd nyinyi wasomi mipeni phd yangu
 
Teh... Ha ha ha hii PHD kila mtu anaikatia rufaa kulikoni?
 
Tatizo watanzania wana uchu wa elimu ya juu lakini wazembe wa kusoma. that is why wanazichangamkia PHD za kiheshima.
 
Back
Top Bottom