Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

Hii ni nzuri sana, itathibitisha kuwa u Dr anaoulingia mwenyekiti wa ccm sio chochote wala lolote.
 
Hongera Mh Dr. Joseph Mbilinyi kazi yako imeonekana!! M4C with No Apology
 
Nchimbi siku nyiingi anajiita Dr
hana PHD wala ya heshima hajawahi kupewa
Dialo aliwahi kuwasilisha Cv ikisema amesoma Harvard na akapewa uwaziri lol

hii nchi ni full comedy

Ni baadhi ya UJUMBE WA MAASKOFU WA MBEYA,kwenda kwa MOPAO JK
 
Kama nawaona vile TCU wakianza kucheza ngoma ya wanasiasa!

Dr Jakaya Mrisho Kikwete, Dr Joseph Mbilinyi, Dr Augustine Lyatonga Mrema,........

phweeee...
 
hao wenye PHD za halali walizo zisomea kwa kufanya tafiti, wamelifanyia nini taifa mpaka sasa.fikiri a scientist phd holder for some yrs in academic experience ameshindwa hata kui invent aina mpya ya sindano ya kushonea au kiberiti.wengi wao wanapigana vikumbo ktk semina/warsha na makongamano mbalimbali.ukihoji kulikoni wanakuja na simple excuse eti ooh serikali haituthamini wasomi.ndo wataalam wetu hawa.mwee !!
 
Watu wanataka kugoma, mimi sioni ubaya kwa Sugu kupewa shahada ya heshima, na ndio maana inaitwa ya heshima... Ukivimba nayo unajifurahisha mwenyewe tu.
 
Dah kama kweli basi Hiko chuo kina walakini
 
Back
Top Bottom