MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Dr love{Pimbi]
Dr nchimbi
Dr Chamileon
Dr Slaa
Dr mrema
Dr kikwete
Dr mengi
Dr magufuli
Dr sugu
Dr ndilamanywa
Dr bana
Dr shein
Nina wasiwasi wewe elimu yako ni ya tuition tena std 6. Huwezi kuwa serious phd ipatikane eti mtu ametuliza ghasia. Think again.
Sioni tatizo Mh. Mbilinyi kutunukiwa hiyo heshima. Kwanza kitendo cha kutumia shillingi elfu hamsini (50,000/-) tu kupata ubunge wakati watu wanatumia billions kuitafuta hiyo nafasi bila mafanikio ni akili ya ziada inayohitaji kutambuliwa.Dr love{Pimbi]
Dr nchimbi
Dr Chamileon
Dr Slaa
Dr mrema
Dr kikwete
Dr mengi
Dr magufuli
Dr sugu
Dr ndilamanywa
Dr bana
Dr shein
Kikwete alivyopewa ilikuwa ya nini kipindi cha vurugu Kenya!?
Wivu tu kwani mkuu wa Kaya na Sugu wana tofaut gani?
umesahau FIELD MARSHALLNDUGU ZANGU...KUNA MTU ALISHAWAHI KUTOKEA KATIKA SAYARI HII....ALIJIPA VYEO VYOOTE,........ "His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE".........NADHANI NA SISI WA TZ TUNAFIKIRI KAMA YEYE..........
...umeambiwa ya maendeleo aliyoleta,kwani mkuu wa kaya walimpa ya kubembea...?Duh phd ya kupgana bungen au ya nn