Dah mbona wanakatisha tamaa waliozipata kwa kusoma.
Hadi hii Nchi yetu iendelee kazi kweli
Rais wako na mama Lwakatare na digrii zao za kupewa ni sawa ila Sugu ndo si sawa?
we mbhaaayaaa!PhD
P-Pengine
h-hana
D-Digrii
Hongera Sugu.
kama anayo masterz?I killed a snake in our village kwa kutumia mikono yangu. should I be given Phd? Kwa nini wasiwe nanapewa madiploma au madegree?
mbna rais na mbunge wa vti maalum mwanjelwa, rwakatale nao wamepewa mi naona ni poa 2kwa stail hiyo Dr. option coming soon................
ndo hapo labda hajui, mchane!Rais wako na mama Lwakatare na digrii zao za kupewa ni sawa ila Sugu ndo si sawa?
Kwa kuhalalisha gongo? Ntashangaa sana tena.
Unashangaa nini Bossman? Kwani bongo kuna tofauti yoyote kati ya wenye PhD na ambao hawana?
Mkuu kiswahili ni lugha ya taifa, So dont feel bad to use it.
Hivi Nchimbi siyo Dr. wa Mzumbe (ana PhD ya Mzumbe) kweli huyo?
Hiyo ya Diallo kali kuliko. Hivi anajua hata Harvard ilipo au anaisikia tu?
Yaani bongo we acha tu. Inavyoendeshwa tunajua wenyewe tu. Hakuna sehemu wala sekta iliyo na nafuu.