Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

na wewe ni masikini anaemchukia Mondi?
That niga is cursed…. Mtu kazaliwa kwenye ufukara na ushenzi usiomithilika Tandale atanizidi nini mtoto wa Upanga born in town kitambo?

nimekuja ulaya wakati huyo dogo hata ndoto ya kufika hapo hana… huwa namuona Kama cursed person like you…
 
Sasa mbona unaonekana una umasikini mwingi sana?
 
Umaskini unao wewe. Ni kawaida tajiri kumchukia maskini. Diamond hata ashike nini to me I will see him as a cursed person.

Hata nyimbo na maisha anayoishi yamejaa laana tupu

Ndio maana hadhira yake ni washenzi washenzi wenzie wasio na taraja lolote la kesho Kama wewe. Lunatics
 
Duh.... Miandiko ya kimaskini utaijua...usiombe uwe maskini afu na stress juu
 
Mtapasuka kwa wivu wakishamba hivi afrika kuna wasanii wangapi mpaka diamond na wakina b.boy kuwa nominated ata hapo alipofikia inatosha. Kama ni safari ya mbinguni ni bado kama nusu km afike acheni UChoko .
Mkuu mtu yoyote anayejinasibu na Jiwe lazima akwame mwisho wa siku.
 
Kashindwa sababu ya kua lazima mmoja ashinde si kwa kua Wanaharakati mchwara wamepiga kelele... wasitake kujipa umuhimu usiostahili.

Wangefanikiwa na ile petition ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro hapo ndio tungejua wananguvu ila ushindi wa Burna Boy wao wasijitafutie umaarufu usiowahusu
Kwahiyo ww unadhali zile kula zote za petition zilikuwa za bure?
 
Huyu jamaa kachemka kuanzia mavazi. Mavazi yake ndio yanayofanya mabeberu yazidi kuona Africa bado ni vichakani. Wenzako wamenyuka suti za maana yeye yuko na sime utadhani BET kaenda kula nyama. Anasahau wamasai hata Nigeria wapo, eti anadumisha mila. Upuuzi mtupu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom