Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

yero yero masai, ni kero mifuko imetoboka hata jero haikai.../

Sitaki mbichi nipe dry, wasanii maandazi burna boy wape chai.../

1624867814005.png
 
Burna Boy Ametangazwa ndio MSHINDI wa Bet Award katika Mashindano Ambayo Msanii Diamond Platnum alikuwa Anashiriki na Kuangukia Pua

====
Hatimaye mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act’, atajwa kuwa ni Burna Boy.

Burna Boy ametajwa kushinda tuzo hiyo usiku wa kuamkia leo Juni 28, 2021 ambapo kilele cha utoaji tuzo hizo umefanyika, nchini Marekani.

Ushindi wa msanii huyo kutoka Nigeria, unamfanya awabwage washindani wake waliokuwa wakichuna katika kipengele hicho akiwemo Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Wizkid kutoka nchini Nigeria.

Wengine waliokuwa katika kipengele hicho ni Aya Nakamura (Ufaransa),Emicida (Brazili), Headie One (Marekani) Young T & Bugsey (Marekani) na Youssoupha (Ufaransa)

Vilevile hii inakuwa mara ya tatu kwa Burna Boy kushinda kipengele hicho kwani alishachukua tuzo tena mwaka 2019 na 2020.

Tuzo za BET zilianza kutolewa mwaka 2001, zinazoandaliwa mahususi kwa ajili ya kusherehekea mafanikio ya kazi za Wamarekani weusi katika sanaa ya muziki, uigizaji, michezo, zinatolewa usiku wa leo huko nchini Marekani.

View attachment 1833052

Pia soma:
Duh imeisha hiyooo.. Diamond vp Tena
 
Mondi ni msanii mzuri lkn bahati mbaya ametokea kwenye kizazi cha akina bana boy na wizkid kamweee hawezi kutoboa hizo tuzo wakipangwa pamoja na endapo akikosa bana basi wizkid ndo second selection
 
Vitu kama hivi ni vya kuungana, siku zote panapotokea ushindani dhidi ya magharibi mwa Afrika, inapaswa huku mashariki tunakua kimoja, sema sijui baadhi ya Wabongo akili zao wanazijua wenyewe, wamempiga jamaa vita, huwa mnabeba majungu yaani mkipata pakutolea mnatirirka balaa ya kufa mtu, nimekua nafuatilia interviews kwenye Youtube, jamaa wanahojiwa na kutolea kashfa kali kali dhidi ya Diamond.

Muige namna Wakenya huwa tunachangamkia wanariadha wetu bila kujali milengo wala matabaka, uzalendo kwanza mengine tutayajadili ndani kwa ndani....
Ndugu yako ukimkuta anakung'utwa kwenye bar na wahuni, usianze kuwaza kuhusu bifu zako naye, ingia kwenye mapambano kisha baada ya hapo ndio utamhoji ilikuakuaje...

==================

Diamond pic

Diamond Platnumz on BET Award red carpet last night.

Tanzania’s Diamond Platnumz was among African musicians and only East African nominated in BET award for the BET Awards 2021 in the Best International Act category.
The 2021 BET Awards were handed out on Sunday night and multiple award-winning Nigerian singer and songwriter Nigerian Artist Damini Ebunoluwa Ogulu aka Burna Boy was announced winner for the category.
Diamond was trying his luck as this was his third nomination after giving it a shot in 2014 and 2016 in the category of Best International Act Africa.
Diamond’s 2021 BET Award nomination stirred an intense hate debate towards the Bongo Flava star on social media. A number of Tanzanians, including fellow musicians, admitted to siding with Nigeria’s Burna Boy or WizKid on voting day.


Jokingly, some even said Burna Boy is Tanzanian-born, from Chato,.
In 2017, Rayvanny became the first artist from Tanzania to win a BET Award, after being crowned “The BET Viewer’s Choice Best New International Act”.
This made him the second artiste to win a BET Award from East Africa, after Eddy Kenzo from Uganda who won the International Viewers Award in 2015.
Other nominated artist for the category were: Wizikid (Nigeria), Aya Nakamura (France), Emicida (Brazil), Headie One (UK) Young T and Bugsey (UK) and Youssoupha (France).


 
Hayawihayawi mliokuwa mnawabeza wanaharakati mkuje mbadili gia angani

View attachment 1833340View attachment 1833346
Kashindwa sababu ya kua lazima mmoja ashinde si kwa kua Wanaharakati mchwara wamepiga kelele... wasitake kujipa umuhimu usiostahili.


Wangefanikiwa na ile petition ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro hapo ndio tungejua wananguvu ila ushindi wa Burna Boy wao wasijitafutie umaarufu usiowahusu
 
Kuna kabila linaitwa Wahaa ni nduguze Diamond yaani yule Mwijaku anatoka sehemu moja na Diamond kule Kigoma! Hili kabila kiasili ni Wabiushi balaa na wana roho ya kwanini na huyo Mwijaku anatoka huko na ndo alinajisi na kufitinisha nafasi ya nduguye hata kupelekea kuwapa sababu political actrivists kuanzisha petition pale alipochaguliwa kuwania nafasi hii ya International Artist BET Awards!
 
Kashindwa sababu ya kua lazima mmoja ashinde si kwa kua Wanaharakati mchwara wamepiga kelele... wasitake kujipa umuhimu usiostahili.


Wangefanikiwa na ile petition ya kumuondoa kwenye kinyang'anyiro hapo ndio tungejua wananguvu ila ushindi wa Burna Boy wao wasijitafutie umaarufu usiowahusu
Baada ya tabia halisi za kijana wetu huku nyumbani kuwafikia wapiga kura ndipo upepo ukageuka.
 
Diamond hajui Kidhungu, japo anajitahidi sana..Wenye wanampiga ni wivu tuu..mwezi Jana nilikuwa Congo DRC kinshaha lingala ilipaa kwa klabu, Bongo za Simba wa Africa mashariki zilinitoa huzuni ya kwetu kiambuu..nikaona nipo tu nyumbani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom