Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

mkuu nashukuru wenzangu wanafikiri porojo jamaa jimbo limemshinda

Mkuu hata huyu mwangwa diwan hajafanya ki2...akumbuke makoka ndo tulimchagua kwa kura nying plus kibangu...huko manzese cuf ndo wametawala...sasa nimeanza harakat chin kwa chin...nyumba kwa nyumba lazima angoke...mkuu huyu mnyika alipata kura kutokana na mpasuko wa ccm kumuweka mbunge auzik(hawa ngumbi ) lakin sasa lazima ang'oke
 
Mtoa mada anapima oil ya gari kwa kutumia vidole.....utauwa engine.Zito ni mzuri ktk kuharibu...na sijui kama Prof.Muhongo atamsahau maishani mwake
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Ww mvivu wa kufikili,matatizo yote ulioorodhesha yaliop ubungo, ni matatizo ya kitaifa mf dar @sehemu shida ya maji afadhali nyie huko mwezi, cc miaka mingi na na dar hapahapa hivyo ninakuambia ww bendela fuata upepo,malalamiko yako ni ya kishabiki au ndio Timu zitto?
 
unasema kigoma kaskazn kuna shida ya maji??? ww utakua unaota....

Zito mwenyewe pamoja na kuwa mbunge hajatakata bado, hcho nı kıashıria cha ukosefu wa maji.Mtu wenu huyo bado ameshndwa hata kuasısi familia yake!
 
Mnyika ni mmoja wa wabunge ambao wamekua wakifanya mikutano na wananchi na kutoa mrejesho wa nini kinaendelea bungeni na kusikiliza kero za wananchi.Ni nani aliye kipofu na kiziwi kiasi hiki,hata hakuona na kusikia Mnyika alivyokua anamuhenyesha Pro Maghembe.

Hatuwezi kuona ubora na uzuri wa mbunge wetu kama hutambui majukumu yao.Kazi ya mbunge ni kuwakilisha matatizo yetu na kutu
tetetea ili serikali itekeleze.
 
Si kila kitu kinahitaji elimu ya juu, na ndio maana kujua kusoma na kuandika tu kunatosha kumfanya mtu awe mbunge. Busara na uwezo wa kupambana na jambo hakuhitaji degree.

Achana na hiyo mıjitu.Kuna mijamaa mingne sıjuı ınaka ulimwengu gani, ınajitutumua kuchangia lakn haijui lolote.Kwa taarifa yake MNYIKA ana shahada ya umahırı (Masters) saiz.Amemaliza form sıx pia.Au wewe una elimu gani?Hata Zito ana form sıx pia.Ok kama n form6 leave na ana uwezo wa kujenga hoja kiasi kile basi nı genıus.Intellıgency test ınafanywa kwa kuangalia uwezo wa mtu kumudu mambo yaliyo juu ya umri au elimu yake.Mnyika amethbıtısha hlo na pengne tukımrank n zaıdı maprof km Kapuya na Magembe.
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Umetetemesha nyumba!
 
Zitto amemwaga sumu gani kwao Kigoma hata anaogopa kurudi?
 
Mtu anayetuchonganisha na alshababu hatakiwi kabisa hapa Tz.Huyu jamaa et anataka tuwashambulie majamaa hana akili kabisa.
 
unamtwisha Mnyika majukumu ya Serikali. .....
Tunahitaji sana elimu ya Uraia
 
Kwa kwel mnyika hapana...kiukwel..hapana.akagombanie kwengine lakin sio ubungo...
 
Jimbo la ubungo sio uswahilini, ajaribu aone; itakuwa vema sana ajaribu ili huu ubishi uishe kabisa, Ubungo sio Uswazi, watu wanaelimu zao na wanaona mambo kwa jicho la tatu
 
Back
Top Bottom