assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #181
mnyika amechokwa
Kama Zitto ameshindwa kuwashawishi Kigoma Kaskazini huku Dar asiguse. Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Zitto ni mpiga dili au Mjasiriamali wa kisiasa. Uchaguzi wa 2010 CCM+CUF walipata asilimia 52% Zitto 48%. mwaka 2005 Zitto 52% CCM 48%.
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi
6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari
niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Hizi ni siasa za maji taka.Sikai ubungo lakini namfagilia sana Mnyika.Lazima wewe una ajenda ya siri.Mnyika ni kijana ambaye namheshimu sana kwa misimamo wake na umahiri wake wa kujenga hoja.Inashangaza sana tena sana, kuona mtu kumtaka mtu kama Zitto kuwa mbunge wake.Mtu ambae ameisaliti nafsi yake mwenyewe na wananchi wa Tanzania,ukiwemo wewe mwenyewe.Watanzania mbona tu wajinga kiasi hiki.
Hi
Zito alikuwa muheshimiwa,ila kwa sasa ni mdharauliwa
Hakuna jimbo zitto anaweza gombea akashinda, hao waliomtuma wenyewe watabanana nae mpk mwisho. Mwisho wa siku atakosa
Zitto hana ubavu wa kushindana na mnyika,zitto ni mwepesi sana
yani wewe hata paka unaita chui hujitambui