Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

mnyika ni mbunge bora bungeni kwa bunge la sasa! Ametimiza wajibu wake wa kibunge ipasavyo. Wajibu wa kufanya ni wa serikali ya ccm inayokusanya kodi zetu.

ubora UPI wakati ss wananchi wake tunateseka
 
Independent-Mind 23:41 Today

Siamini kama haya Maneno ni ya Mheshimiwa
Mnyika na kama kweli ni yake basi He lacks
intergrity,sababu:
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Luis,Binafsi
nimemshuhudia Zitto kwenye Kampeni mara 3
tofauti ndani ya jimbo la Ubungo,kwanza kabisa
ni Kwembe,Kimara-B na Temboni.Naongea haya
kwa uchungu kwa sababu kama kweli haya
maneno yametoka kwa Mnyika basi nchi hii tuna
kazi sana sababu huwezi toa maneno ya uongo
kiasi hiki hali ya kuwa ukijua fika kuna wana
Ubungo tuliokuwa tunahudhuria mikutano
kusikiliza sera nzuri za Chadema.Anyway all in all
mi namsubiria kampeni zikianza nitafanya kila
niwezalo nataka ajibu swali langu la kwa nini
hatujapata maji na alituahidi miaka 2 ya ubunge
wake tutapata maji,akijikanyaka I promise him I
will be one of the grassroots movement
campaigning agaist him.
haa haa anza na maccm yanayokusanya kodi yako kwanza!
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Hacha unafiki kasikazini kumemshinda sembuse ubungo?
 
Kuna watu wanapiga kelele wanafikiri Jimbo la Ubungo ni pale stand na Manzese, Ubungo yenyewe hawaijui. Kazi aliyoifanya Mnyika Ubungo tunaifahamu sisi wenyewe wana Ubungo
 
Tukisema watanzania walio wengi ni matahi.ra wanasema tunajidharau.hv ni nani asiye jua mchango wa John mnyika ktk jitihada za kupeleka maji ubungo na bungeni kwa kutetea watanzania

Huyu Mtoa Mada(Assad) naona mabomu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe (Syria) yamemuathiri ubongo wake msameheni bure tu !
 
ukifungua but la gar ya mnyika unakuta chupa za nyagi dogo stress mbaya

Wewe kweli ni kilambalamba Kama jina lako lilivyo. Wewe kwenye buti ya Gari ya mnyika umefuata nini??? Au ww ni housegirl au houseboy wake so ulikuwa Unashusha mboga nyumbani kwake???. Inaonekana umezoea Sana kulamba viatu vya watu na Mnyika kakutolea nje kulamba viatu vyake sio???.
 
Independent-Mind 23:41 Today

Siamini kama haya Maneno ni ya Mheshimiwa
Mnyika na kama kweli ni yake basi He lacks
intergrity,sababu:
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Luis,Binafsi
nimemshuhudia Zitto kwenye Kampeni mara 3
tofauti ndani ya jimbo la Ubungo,kwanza kabisa
ni Kwembe,Kimara-B na Temboni.Naongea haya
kwa uchungu kwa sababu kama kweli haya
maneno yametoka kwa Mnyika basi nchi hii tuna
kazi sana sababu huwezi toa maneno ya uongo
kiasi hiki hali ya kuwa ukijua fika kuna wana
Ubungo tuliokuwa tunahudhuria mikutano
kusikiliza sera nzuri za Chadema.Anyway all in all
mi namsubiria kampeni zikianza nitafanya kila
niwezalo nataka ajibu swali langu la kwa nini
hatujapata maji na alituahidi miaka 2 ya ubunge
wake tutapata maji,akijikanyaka I promise him I
will be one of the grassroots movement
campaigning agaist him.

Wewe Kama unasikia uchungu uwahi labor. Utakuwa one of the grassroot against him Mara ngapi??? We nenda kamtumikie bwana wako upate bk 7 zako.
 
Kule kigoma kaskazIn bado kunashida kubwa ya maji, miundombinu na matatizo mengi ya afya na elimu, ambazo Mp.nz wako zito alishidwa kuzitatuamiaka kumi ilopita.

unasema kigoma kaskazn kuna shida ya maji??? ww utakua unaota....
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Tukisema kuwa ccm mmepagawa mnabisha,sasa leo hii kada wa kukodiwa ndani ya act unalilia nini?hizo ni rasharasha tu na masika bado hadi october.
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Kawatuma mje kumchafua Mnyika JJ kwa hoja mfu kama hizi.
Mnyika JJ ni one of the best MPs of the era pamoja na akina Lissu.
Mnyika JJ ni Mbunge wa ki taifa,ni next Level,kwa akili Samaki kama wewe hamuwezi kumuelewa Mnyika JJ.
Ila nna nna uhakika,unamkubali sana Mnyika JJ kimoyo moyo na akiamua kukutokea game utampa.
Muulize yule Hawa,baada ya Kesi nini kilijiri.
 
una maana mnyika form 6 amauwezo kushinda zito?interesting....

Si kila kitu kinahitaji elimu ya juu, na ndio maana kujua kusoma na kuandika tu kunatosha kumfanya mtu awe mbunge. Busara na uwezo wa kupambana na jambo hakuhitaji degree.
 
Kuna watu wanapiga kelele wanafikiri Jimbo la Ubungo ni pale stand na Manzese, Ubungo yenyewe hawaijui. Kazi aliyoifanya Mnyika Ubungo tunaifahamu sisi wenyewe wana Ubungo

itskuwa nyumbani kwako otherwise fix tu
 
Back
Top Bottom