Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

Jimbo la ubungo sio uswahilini, ajaribu aone; itakuwa vema sana ajaribu ili huu ubishi uishe kabisa, Ubungo sio Uswazi, watu wanaelimu zao na wanaona mambo kwa jicho la tatu

mkuu zito huwa hajaribu anamake things happen
 
Akili nyingine zinaonyesha kuna watanzania mabwege wakutupia fisi wapte msosi.
 
Huyo mnyika binafsi nitahakikisha HARUDI KAMWE,nitapiga kampeni mwanzo mwisho!!HARUDI TENA,NASEMA HARUDI...NG'OO!!AKASOME
haa haa labda kama kampeni utapiga wewe peke yako. Nakuhakikishia mnyika anarudi bungeni kwa asilimia 90.
 
Mm kwa gharama yyte ile atumtaki ubongo...haswa haswa ubungo makoka...mnyika mwaka huu hupati ubunge ubungo...
 
Mnyika atajuta nakusaga meno mara baada ya kutupiliwa mbali na wanaubungo.Bunge atalisikia na kulitazama kwenye luninga.Hatutaki viongozi wababaishaji wapiga majungu tu.Zitto karibu.
kama kura unapiga peke yako sawa! Lakini kama wanabungo nao wanapiga kura kama wewe, tusubiri tuone!
 
Mm ni mkaz wa makoka mwemben...kwa kwel mkuu umeongea ukwel mtupu...mnyika hatumpi teena ubunge...kiukwel kafel total..
sema wewe hutampa, wanaomtaka mnyika watampa! Wewe yao umpe mbunge wa chama cha maescrow ama cha wasaliti.
 
sema wewe hutampa, wanaomtaka mnyika watampa! Wewe yao umpe mbunge wa chama cha maescrow ama cha wasaliti.

Mkuu huku makoka hatuchagui chama hata siku moja..waulize wanaopajua...tunachagua mtu..huku weng ccm but tulimpa mnyika tulimuamin...sasa bas sasa tunampa mwingine chama chochote lakin si mnyika
 
Kama ubungo kuna vilaza kama ww kadhaa hata aje nyerere kuwa mbunge hapo bado ni shiiiidah...
Kule vijijini watasemaje ww uko hapo mjini unalialia...
Pu..mb..a..fu!
 
Mkuu hata huyu mwangwa diwan hajafanya ki2...akumbuke makoka ndo tulimchagua kwa kura nying plus kibangu...huko manzese cuf ndo wametawala...sasa nimeanza harakat chin kwa chin...nyumba kwa nyumba lazima angoke...mkuu huyu mnyika alipata kura kutokana na mpasuko wa ccm kumuweka mbunge auzik(hawa ngumbi ) lakin sasa lazima ang'oke
mkuu, usifanye kampeni za chini kwa chini , uko huru fanya za wazi. Lakini wana ubungo wataamua wampe nani...
 
Back
Top Bottom