Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

endelea kuota, mnyika na mdee ni wabunge bora dar, na kwa mbaali zungu. Wengine ni mdebwedo tu.
Huyo mnyika binafsi nitahakikisha HARUDI KAMWE,nitapiga kampeni mwanzo mwisho!!HARUDI TENA,NASEMA HARUDI...NG'OO!!AKASOME
 
mnateseka kivip? Kazi ya mbunge unaifahamu? Ni mara ngapi mnyika amehangaika bungeni kutetea suala la maji ubungo na dar kiujumla? Kama kweli mnateseka ni uzembe wa serikali ya ccm inayokusanya kodi zetu na sio mnyika!

sisi tunamuuliza ahadi zake alizotoa unazojua? au unaropoka ss ni wakazi wa ubungo
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

Amekusikia na atagombea!
 
mkuu bora ukae kimya ...hoja za mnyika bungeni kuhusu tatizo la maji kwa mji wa Dar hujaziona hata kusikikia....tatizo la maji ubungo si swala la jimbo ni system nzima ya jiji la Dar.....miundo mbinu iliyopo ni ya miaka ya zamani kulinganganisha na idadi ya watu wa sasa....na ni swala la kitaalamu... kama hujaona mchango wa mnyika kuhusu maji jiji la Dar wewe utakuwa si mtanzania au ni chuki binafsi zimekujaa...
 
itskuwa nyumbani kwako otherwise fix tu

Mkuu mimi sina haja ya kupigizana kelele na wewe mkitaka mleteni Zitto Ubungo ashindane na Mnyika ndio mtajua nachomaanisha, issue ya maji nani asiyekumbuka Hoja aliyoipeleka bungeni myika? Nani asiyekumbuka matembezi tuliyofanya na Mnyika kwenda DAWASCO kuhusu maji? Unajua ni barabara ngapi ziko kwenye matengenezo kwa kiwango cha lami muda huu katika jimbo la Ubungo?
 
Kigoma kaskazini ni majimbo ni miongoni mwa majimbo yanayoongoza kwa watu kutotumia vyoo, jee Ubungo mnataka irudi huko? Sasa Ubungo na kun.ya vichakani wapi na wapi? Hayo waachieni watu wa Mwandiga ndio wamezoea
 
Mnyika hakushinda %miamoja kwahiyo mlio mkataa bado mpo wanao muunga mkono wameongezeka atashinda tu haturudi nyuma.
 
Mkuu mimi sina haja ya kupigizana kelele na wewe mkitaka mleteni Zitto Ubungo ashindane na Mnyika ndio mtajua nachomaanisha, issue ya maji nani asiyekumbuka Hoja aliyoipeleka bungeni myika? Nani asiyekumbuka matembezi tuliyofanya na Mnyika kwenda DAWASCO kuhusu maji? Unajua ni barabara ngapi ziko kwenye matengenezo kwa kiwango cha lami muda huu katika jimbo la Ubungo?

tunaandaa mkakati wa kumshawishi zito
 
mm nikiwa .mwananchi na mkazi wa Ubungo makoka nakuomba mh zito uje ugombee jimbo la Ubungo kutokans na kero hizi
1. mbunge wangu ameshindwa kwa kipindi cha miaka mitano ameshindwa kutatua matatizo ya maji. tunakaa mwez mzm hatuna maji ni mate so
2. barabara zetu mbovu hasa hii ya makoka Ubungo imefikia asubuhi nawskataa RAIA kenye gari yangu kwani barabara ni makorongo tupu na mbunge hatumuoni
3. shule yetu ya kata hapa inashida nyingi mbunge kapotea wala kutembelea kutoa ushirikiano
4. kuna shida ya daraja eneo la unyamwezini baafhi ya watu wamekufa mvua zinaponyesha kwa kupita juu ya Bomba la dawasko na mbunge hatujapta muona hats ck moja ni majanga
5. vijana wengi wa Ubungo ajira hawana wanapanga vitu jioni kwenye transfoma za umeme Ubungo mbumge ameshindwa kutoa njia mbadala ili vijana wasikae maeneo hatarishi

6. wananchi wa manzese wamesahau km wanambunge hajswahi tembelea ht ck moja. mitaro imeziba nyumba zimejaa maji kipindi hiki cha mvua mbunge wetu hana ht habari

niishie HP kiukweli ninamengi sana mbunge wangu amefeli mtihani czani tutampa tena nfasi. mh Zito njoo utuokoe sisi wakazi wa ubungo

vijana wa AcT mnachekesha sana aisee!!

Alliance for Cowards and Traitors!!
 
mkuu bora ukae kimya ...hoja za mnyika bungeni kuhusu tatizo la maji kwa mji wa Dar hujaziona hata kusikikia....tatizo la maji ubungo si swala la jimbo ni system nzima ya jiji la Dar.....miundo mbinu iliyopo ni ya miaka ya zamani kulinganganisha na idadi ya watu wa sasa....na ni swala la kitaalamu... kama hujaona mchango wa mnyika kuhusu maji jiji la Dar wewe utakuwa si mtanzania au ni chuki binafsi zimekujaa...

mkuu unazijua ahadi mnyika alizotoa wakati anagombea? au unaropoka tu
 
Nini kugombea mwambie aje tu afanye mkutano ndo ajipime kama anaweza kusimama na Mnyika
 
duuuh POINT zako zote Ni PUMBA TUPUU
AJIRA tanzania nzima hakuna,maji ni shida nchi nzima Barabara mbovu Tz nzima
point ya msingi ni kuwang'oa CCM madarakani
 
mkuu unazijua ahadi alizotoa? unajua alizotekeleza? au unaropoka tu
 
Mleta mada ni m.p.u.m.b.a ** huyo Zitto jiulize jimbi alilokuwepi la Kigoma Kaskazini ni kero ngapi alizofanikiwa kuzitatua?unategemea wabunge ndio watoe hela mifukoni mwao watatue hayo matatizo zaidi ya kuwa wasemaje na wakuisimamia serikali?kama serikali ni mbovu ni mbovu,mbali ya kushinikizwa inatakiwa ijue wajibu wake kwa walipa kodi wake,cha msingi ni kabadili serikali na mfumo wake waote,sio kila kitu mnaleta siasa zisizo na mashiko
 
Back
Top Bottom